Tunaishi katika sayari tofauti kabisa kimaono, na hii ndio inatofautisha timu kubwa na timu kongwe

Ushawahi kuona Madrid au Simba anawaza kuchukua shirikisho au uropa team ndogo kama utopolo na arsenal ndo zinawaza
Ni kweli kabisa Simba kuonesha kuwa hawalitaki kombe la CAF confederation, waliamua kujitoa kushiriki baada ya kuangukia kwenye shirikisho msimu uliopita. Ila cha ajabu Namungo sijui ni Azam wale, wakaenda ugenini kwa kutumia kila mbinu ili aweze kufuzu ikiwemo kuwasha moto kunakohusisha na ushirikinan.

Na kingine ni kwamba Real madrid ana makombe mawili ya Europa league. ambapo zamani ilikuwa ikitambulika kama UEFA cup.
 
Aliyaongea kwa utashi wake na mihemko yake sababu ya kutawaliwa na hisia zake
Kama mtu anatumia platform za klabu huku nyuma yake kuna nembo za klabu na wadhamini wake, utatofautisha vipi kwamba muda huu anaongea kwa utashi wa klabu na huu kwa utashi wake?
 
  • Al Ahly amewahi kuchukua Ubingwa wa Kombe la Shirikisho mara moja tu tena miaka 9 iliyopita
  • Wydad Casablanca hajawaji kuchukua Ubingwa wa Shirikisho hata group Stage hajawahi kucheza
  • Mamelod hajawahi hata kushiriki Kombe la Shirikisho na halijui
  • Esparance hajawahi kushiriki hata hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho
  • Zamalek imechukua ubingwa wa Shirikiaho mara moja tuuu
Umeelewa nini?!!

Kombe la Shirikisho sio kipaumbele cha timu cha sisi timu kubwa, hatutamani kushiriki kombe hilo kwa sababu haliakisi mafanikio na ukubwa wetu

Kwanini hatuvutiwi sana na Kombe la Shirikisho, Kwa sababu inashirikisha timu ndogondogo na timu mpya ndo maana kila siku unasikia majina mapya kina KMC, Biashara Geita, Namungo na wengine wadogo wadogo katika nchi zao

𝐔𝐤𝐢𝐨𝐧𝐚 𝐌𝐳𝐞𝐞 𝐚𝐧𝐚𝐟𝐮𝐫𝐚𝐡𝐢𝐚 𝐊𝐨𝐦𝐛𝐞 𝐥𝐚 𝐒𝐡𝐢𝐫𝐢𝐤𝐢𝐬𝐡𝐨 𝐣𝐮𝐚 𝐚𝐦𝐞𝐤𝐰𝐚𝐦𝐚
View attachment 2597872

2007 CAF Confederation Cup group stage

Group A

Team
Pts
Pld
W
D
L
GF
GA
GD
13
6​
4​
1​
1​
13​
4​
+9​
12
6​
4​
0​
2​
11​
9​
+2​
6
6​
2​
0​
4​
7​
13​
-6​
4
6​
1​
1​
4​
5​
10​
-5​

Sijui ulikuwa wapi wakati huo!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hilo hilo kombe la loosers
Ibaki tu kusema kuwa shirikisho ni kombe la waliofeli na timu zinazochipukia...ndio sababu CR7 alivyoona Man utd hawashiriki UEFA akaomba kuondoka maana europa sio kipaumbele chake.....

Namungo
Kmc
Yanga
Geita

Hawa ndio watu wa luzaz[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tunalichukua na kulinunulia kabati lake.
 
Yanga inaenda kuwa kama Sevilla, tutachukua CAFCC na mwakani hao CAFCL kama kawaida.
 
Mkuu, kwa kuijua kwako Barcelona, umewahi kuiona ikishiriki Europa zaidi ya msimu huu? Usiongee kinazi na kujitoa akili. Kombe la Mabingwa na Kombe la Shirikisho yote ni mashindano ya kimataifa kama ilivyo kwa UCL na Europa League ingawa inapishana kwa hadhi. Kila timu, wakati wowote, inaweza kushiriki hili au lile. Simba imeshiriki yote kama ilivyo kwa Yanga.
 
Sasa si umeahasema kuwa yanatofautiana kwa hadhi na hapo ndio point yetu ilipo[emoji120]
 
Sasa si umeahasema kuwa yanatofautiana kwa hadhi na hapo ndio point yetu ilipo[emoji120]View attachment 2598126
Mkuu, kadiri ulivyoiweka mada yako ni kama Kombe la Shirikisho ni nothing. Fahamu kuwa wababe wote wa Afrika wamewahi kushiriki kombe hilo: ikiwemo Simba na TP Mazembe. Hoja yako ya sasa inapaswa kuiombea na kuitia hamasa Simba ivuke na ifikie hatua ya nusu fainali. Kujisifu kwa kuishia tu robo fainali kila mwaka ni uzuzu fulani hivi...
 
Simba msimu uliopita katika kombe la shirikisho ndipo walipo li dhalilisha Taifa Kwa kupigwa fain na kupewa Onyo na shirikisho la soka Barani Afrika baada ya kukamatwa wakifanya vitendo vya kishirikina uku wakiwasha moto uwanjani uko bondeni Kwa Madiba.

Timu ya Simba imewekwa rekodi yakuwa Timu inayo jihusiaha na vitendo vya kishirikina Hadharani wakiamini vitendo vya kichawi vita isaidia kupata matokeo chanya kwenye mchezo wa soka.

Jambo la ajabu na aibu picha mnato zimebandikwa katika Kuta za office za shirikisho la soka Barani Afrika CAF zikiwaonyesha wachezaji wa Simba ya Tanzania wakifanya vitendo mbalimbali vya kishirikina ikiwa kama kumbukumbu ya mpira katika baadhi ya nchi unavyo endeshwa.
Kwani kufukiza uvumba ni uchawi? Unamaanisha Roman Catholic wote ni wachawi?

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Waarabu kila siku wanawasha si tu moto, bali uwanja mzima unafunikwa kwa ukungu wa moshi mzito na kuna wakati wanapata magoli katika mazingira hayo hayo ila hilo unaona sawa, mnadai ni vibe lao tu. Simba kuwasha moto ili Kibu na Mkude wapige pafu mbili tatu za msuba wachangamshe mwili mnaona nongwa. Acheni utumwa wa fikra.
Umeongea fact sana

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Simba msimu uliopita katika kombe la shirikisho ndipo walipo li dhalilisha Taifa Kwa kupigwa fain na kupewa Onyo na shirikisho la soka Barani Afrika baada ya kukamatwa wakifanya vitendo vya kishirikina uku wakiwasha moto uwanjani uko bondeni Kwa Madiba.

Timu ya Simba imewekwa rekodi yakuwa Timu inayo jihusiaha na vitendo vya kishirikina Hadharani wakiamini vitendo vya kichawi vita isaidia kupata matokeo chanya kwenye mchezo wa soka.

Jambo la ajabu na aibu picha mnato zimebandikwa katika Kuta za office za shirikisho la soka Barani Afrika CAF zikiwaonyesha wachezaji wa Simba ya Tanzania wakifanya vitendo mbalimbali vya kishirikina ikiwa kama kumbukumbu ya mpira katika baadhi ya nchi unavyo endeshwa.
Acha ushamba na wale waarabu koko waliwasha moto walikuwa wanaloga
 
Mkuu, kadiri ulivyoiweka mada yako ni kama Kombe la Shirikisho ni nothing. Fahamu kuwa wababe wote wa Afrika wamewahi kushiriki kombe hilo: ikiwemo Simba na TP Mazembe. Hoja yako ya sasa inapaswa kuiombea na kuitia hamasa Simba ivuke na ifikie hatua ya nusu fainali. Kujisifu kwa kuishia tu robo fainali kila mwaka ni uzuzu fulani hivi...
Makundi ya CAF CHAMPION LEAGUE ni sawa na nusu fainali ya malooser utopolo
 
  • Al Ahly amewahi kuchukua Ubingwa wa Kombe la Shirikisho mara moja tu tena miaka 9 iliyopita
  • Wydad Casablanca hajawaji kuchukua Ubingwa wa Shirikisho hata group Stage hajawahi kucheza
  • Mamelod hajawahi hata kushiriki Kombe la Shirikisho na halijui
  • Esparance hajawahi kushiriki hata hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho
  • Zamalek imechukua ubingwa wa Shirikiaho mara moja tuuu
Umeelewa nini?!!

Kombe la Shirikisho sio kipaumbele cha timu cha sisi timu kubwa, hatutamani kushiriki kombe hilo kwa sababu haliakisi mafanikio na ukubwa wetu

Kwanini hatuvutiwi sana na Kombe la Shirikisho, Kwa sababu inashirikisha timu ndogondogo na timu mpya ndo maana kila siku unasikia majina mapya kina KMC, Biashara Geita, Namungo na wengine wadogo wadogo katika nchi zao

𝐔𝐤𝐢𝐨𝐧𝐚 𝐌𝐳𝐞𝐞 𝐚𝐧𝐚𝐟𝐮𝐫𝐚𝐡𝐢𝐚 𝐊𝐨𝐦𝐛𝐞 𝐥𝐚 𝐒𝐡𝐢𝐫𝐢𝐤𝐢𝐬𝐡𝐨 𝐣𝐮𝐚 𝐚𝐦𝐞𝐤𝐰𝐚𝐦𝐚
View attachment 2597872
Hizo timu zote ulizozitaja zimewahi kuwa mabingwa wa Afrika kwa nyakati tofauti tofauti, vipi kuhusu timu yako. Anyway acha tushinde kwa vibonde wenzetu na wewe shinda kwa unaowaita wakubwa wenzako tuone.
 
Nilichoelewa ni kwamba Makolo wamechukua kombe la robo fainali la shirikisho mara moja
 
Mkuu, kadiri ulivyoiweka mada yako ni kama Kombe la Shirikisho ni nothing. Fahamu kuwa wababe wote wa Afrika wamewahi kushiriki kombe hilo: ikiwemo Simba na TP Mazembe. Hoja yako ya sasa inapaswa kuiombea na kuitia hamasa Simba ivuke na ifikie hatua ya nusu fainali. Kujisifu kwa kuishia tu robo fainali kila mwaka ni uzuzu fulani hivi...
Manara ajengewe sanamu.
 
Ibaki tu kusema kuwa shirikisho ni kombe la waliofeli na timu zinazochipukia...ndio sababu CR7 alivyoona Man utd hawashiriki UEFA akaomba kuondoka maana europa sio kipaumbele chake.....

Namungo
Kmc
Yanga
Geita

Hawa ndio watu wa luzaz[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo huko alipokwenda ronado sasa hivi wamo kwenye uefa?
 
Back
Top Bottom