DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
- Al Ahly amewahi kuchukua Ubingwa wa Kombe la Shirikisho mara moja tu tena miaka 9 iliyopita
- Wydad Casablanca hajawaji kuchukua Ubingwa wa Shirikisho hata group Stage hajawahi kucheza
- Mamelod hajawahi hata kushiriki Kombe la Shirikisho na halijui
- Esparance hajawahi kushiriki hata hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho
- Zamalek imechukua ubingwa wa Shirikiaho mara moja tuuu
Kombe la Shirikisho sio kipaumbele cha timu cha sisi timu kubwa, hatutamani kushiriki kombe hilo kwa sababu haliakisi mafanikio na ukubwa wetu
Kwanini hatuvutiwi sana na Kombe la Shirikisho, Kwa sababu inashirikisha timu ndogondogo na timu mpya ndo maana kila siku unasikia majina mapya kina KMC, Biashara Geita, Namungo na wengine wadogo wadogo katika nchi zao
𝐔𝐤𝐢𝐨𝐧𝐚 𝐌𝐳𝐞𝐞 𝐚𝐧𝐚𝐟𝐮𝐫𝐚𝐡𝐢𝐚 𝐊𝐨𝐦𝐛𝐞 𝐥𝐚 𝐒𝐡𝐢𝐫𝐢𝐤𝐢𝐬𝐡𝐨 𝐣𝐮𝐚 𝐚𝐦𝐞𝐤𝐰𝐚𝐦𝐚
View attachment 2597872