Tunaishukuru MWAUWASA kwa huduma nzuri ya maji kinyume na siku za nyuma

Tunaishukuru MWAUWASA kwa huduma nzuri ya maji kinyume na siku za nyuma

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Binafsi niwashukuru sana MWAUWASA kwa kurudisha huduma ya maji ambayo ni endelevu kwa sasa kwa maeneo mengi Jijini Mwanza.

Hongereni sana.

Mjitahidi kuwa na huduma ambayo ni endelevu kwa maeneo mengi jijini Mwanza ili wananchi tuwe na imani na Mamlaka yetu.

Asanteni sana.
 
Hongera nyingi kwa hao Mwauwasa.

Namsubiria mdau mwingine wa kuja kuipongeza Duwasa ya Dodoma kwa huduma yao bora kabisa ya kuwapatia wateja wake maji ya uhakika! Nimekaa pale 👉😎
 
Back
Top Bottom