Tunaishukuru ZBC kwa kutuwezesha kuona michuano ya CHAN, wengine wameshindwa

Tunaishukuru ZBC kwa kutuwezesha kuona michuano ya CHAN, wengine wameshindwa

Hata TBC2 sijui kama bado ipo ilikuwa inamilikiwa na star times walikuwa wanatumia kibali cha serikali kuomba mechi lakini ili uone lazima uwe na kisimbusi cha star times

Ila kwa CHANI hii TBC inatutia aibu KBC na RWANDA TV wanaonyesha

TBC siku hizi mda mwingi wanautumia kuifagilia CHATO
 
Acha kusema usilolijua hii sio Dunia ya Watu kudanganywa na Bakhressa kiasi hicho! Yani adanganye Watu kuhusu ZBC2 kuwa ya Serikali wakati ni ya kwake?
ZBC2 sio ya Bakhressa ni sehemu ya ZBZ ya serikali.
Sasa kwaataarifa yako mzee Bakharesa ndio mwenye zbc

Ndio maana baadhi ya game za ligi kuu zinapelekwa kule
Screenshot_20210122-090848.jpg
 
Back
Top Bottom