Tunaisubiri kamati ya masaa 72 kutoa adhabu kali kwa mtindo waliotumia wachezaji wa Mbeya City kushangilia

Tunaisubiri kamati ya masaa 72 kutoa adhabu kali kwa mtindo waliotumia wachezaji wa Mbeya City kushangilia

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
Tadadhalini kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi katika kikao chenu mnapopitia taarifa mbalimbali za mechi za Ligi Kuu tunaombeni mliwekee uzito hili jambo la mtindo wa ovyo waliyotumia Mbeya city kushangilia bao la kusawazisha.

Ni mtindo ambao ipo kinyume na maadili wazi wazi, hapo uwanjani hata watoto wapo, wanafunzwa nini wanapoona wakubwa zao wakifanya huu ufuska?

Nimepitia mitandaoni nimekerwa kuona kwamba hadi 'memes' zenye maneno machafu zimeshaanza kutengenezwa.

TF_2.gif
 
Tadadhalini kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi katika kikao chenu mnapopitia taarifa mbalimbali za mechi za Ligi Kuu tunaombeni mliwekee uzito hili jambo la staili ya ovyo waliyotumia Mbeya city kushangilia bao la kusawazisha.

Ni staili ambayo ipo kinyume na maadili wazi wazi, hapo uwanjani hata watoto wapo, wanafunzwa nini wanapoona wakubwa zao wakifanya huu ufuska.

Nimepitia mitandaoni nimekerwa kuona kwamba hadi memes zenye maneno machafu zimeshaanza kutengenezwa..

View attachment 2426515
Ni kawaida wametumwa na Bwana zao wanawasaidia kushangilia ubingwa
 
Kwani ni mara ya kwanza kuwaona wanashangilia namna hiyo? Wapigwe faini kisa wameshangilia dhidi ya simba ilhali hufanya hivo kwa timu nyingi?
Muwe mnatumia akili angalau kidogo,au kipindi akili zinagawiwa hamkuwepo SOKA siku moja itakuja leta maafa.Simba na yanga mnaelekea vitani si SOKA tena.
 
Muwe mnatumia akili angalau kidogo,au kipindi akili zinagawiwa hamkuwepo SOKA siku moja itakuja leta maafa.Simba na yanga mnaelekea vitani si SOKA tena.
Vita bongo.....................kuna mengi yangeweza sababisha vita ila sio simba na yanga hapa ni kutesa kwa zamu tu......
 
Vita bongo.....................kuna mengi yangeweza sababisha vita ila sio simba na yanga hapa ni kutesa kwa zamu tu......
MTAKUJA UANA KILA MTU akisema hata kama ni kweli mnakanusha au vita mpaka mtu akatwe shingo ndo mtaelewa.
 
Back
Top Bottom