Tadadhalini kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi katika kikao chenu mnapopitia taarifa mbalimbali za mechi za Ligi Kuu tunaombeni mliwekee uzito hili jambo la
mtindo wa ovyo waliyotumia Mbeya city kushangilia bao la kusawazisha.
Ni mtindo ambao ipo
kinyume na maadili wazi wazi, hapo uwanjani hata watoto wapo, wanafunzwa nini wanapoona wakubwa zao wakifanya huu ufuska?
Nimepitia mitandaoni nimekerwa kuona kwamba hadi 'memes' zenye maneno machafu zimeshaanza kutengenezwa.
View attachment 2426515