Hawashangilii draw Bali wanashangilia goliSasa hawa wanashangilia draw watakuwa hawaendelei
Walishangilia goli lao.Sasa hawa wanashangilia draw watakuwa hawaendelei
Ni kawaida wametumwa na Bwana zao wanawasaidia kushangilia ubingwaTadadhalini kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi katika kikao chenu mnapopitia taarifa mbalimbali za mechi za Ligi Kuu tunaombeni mliwekee uzito hili jambo la staili ya ovyo waliyotumia Mbeya city kushangilia bao la kusawazisha.
Ni staili ambayo ipo kinyume na maadili wazi wazi, hapo uwanjani hata watoto wapo, wanafunzwa nini wanapoona wakubwa zao wakifanya huu ufuska.
Nimepitia mitandaoni nimekerwa kuona kwamba hadi memes zenye maneno machafu zimeshaanza kutengenezwa..
View attachment 2426515
Muwe mnatumia akili angalau kidogo,au kipindi akili zinagawiwa hamkuwepo SOKA siku moja itakuja leta maafa.Simba na yanga mnaelekea vitani si SOKA tena.Kwani ni mara ya kwanza kuwaona wanashangilia namna hiyo? Wapigwe faini kisa wameshangilia dhidi ya simba ilhali hufanya hivo kwa timu nyingi?
Vita bongo.....................kuna mengi yangeweza sababisha vita ila sio simba na yanga hapa ni kutesa kwa zamu tu......Muwe mnatumia akili angalau kidogo,au kipindi akili zinagawiwa hamkuwepo SOKA siku moja itakuja leta maafa.Simba na yanga mnaelekea vitani si SOKA tena.
MTAKUJA UANA KILA MTU akisema hata kama ni kweli mnakanusha au vita mpaka mtu akatwe shingo ndo mtaelewa.Vita bongo.....................kuna mengi yangeweza sababisha vita ila sio simba na yanga hapa ni kutesa kwa zamu tu......
Makolo punguzeni makasirikoMuwe mnatumia akili angalau kidogo,au kipindi akili zinagawiwa hamkuwepo SOKA siku moja itakuja leta maafa.Simba na yanga mnaelekea vitani si SOKA tena.
Muwe mnatumia akili angalau kidogo,au kipindi akili zinagawiwa hamkuwepo SOKA siku moja itakuja leta maafa.Simba na yanga mnaelekea vitani si SOKA tena.
Daaah !! 😂😂View attachment 2426734hii style mlikuwa mkifurahia?
Tumia akili kosa la kwanza halihalishi la pili.Na hawa hawaigizi kutiana hawa wanaigiza kukojoa mbwa.View attachment 2426734hii style mlikuwa mkifurahia?
Teh teh teh, Mabwana zao wapi hao?Ni kawaida wametumwa na Bwana zao wanawasaidia kushangilia ubingwa
Punguza mahaba wewe kolo hapo wanaigiza kukojoa kama mbwa ila wanamaanisha kuwa tumewakojolea.acha kujitoa ufahamuTumia akili kosa la kwanza halihalishi la pili.Na hawa hawaigizi kutiana hawa wanaigiza kukojoa mbwa.