Tunaisubiri kamati ya masaa 72 kutoa adhabu kali kwa mtindo waliotumia wachezaji wa Mbeya City kushangilia

Lia lia FC!
 
washamba, kwao kudroo ni ushindi
Ni haki yao kufurahia ushindi kwani simba ni timu nzito kwao.
Staili ya ushangiliaji hiyo sijaisemea.

Hata Saudi Arabia walitangaza mapumziko kwa kuifunga Argentina bila kujali ndoo mwanzo tu wa kucheza
 
Tatizo sio ushangiliaji wao bali ni draw mliyoipata dhidi yao ndo inawaumiza
 
Naunga mkono hoja ule ni upuluzi.
 
Waporipori hao ni kuwapotezea tu
 
MTAKUJA UANA KILA MTU akisema hata kama ni kweli mnakanusha au vita mpaka mtu akatwe shingo ndo mtaelewa.
Sema tu hali mbaya kanywe maji..........labda mtauana nyie mikia
 
Hayo mengine unayaongeza wewe ,wenzio wanashangilia goli a.k bao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…