Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaishi nchi gani wewe? Kumbe ndio sababu unatapatapa hapa kulipishwa laki sita ya kugombea Ubunge kupitia CCM? Hivi kuna awamu ambayo imewahi kufanya matumizi ya kufuru na STAREHE ya zaidi ya Trilioni 2.5 kwa kipindi kisichozidi miaka minne tu, kuliko hii?Zile zilikuwa zama za upigaji. Awamu hii hatuwezi kuruhusu upigaji wa namna hii
Hakuna sehemu nimesema kuwa imenishinda Bali nataka sheria zifatwe. Hakuna kanuni inayomtaka mtia Nia atoe laki tatu nje ya laki moja ya kuchukua fomu. Hapa Kuna upigaji
Umechukua wapi hiyo fomu ya bureCCM kinatoa fomu buree
Kwahiyo unataka upewe bure fomu na wajumbe wajisafirishe au wakuombe rushwa.
Haa kama laki 3 ya mara moja tu inakushinda sasa hv, hufai kuwa mbunge, sbb ukiwa mbunge ukipata hela ndio utakuwa unashughulikia biashara zako tu na kuwatia umaskini wananchi.
chadema mwenzio huyo mzushi kama nyie wenyewe huoni hata hajaandika ni wapi hataji hata eneo huyo ni chadema mwenzenu kama nyie mliosema mliibiwa kura za uraisi uchaguzi mkuu mkiambiwa tajeni hata kituo kimoja cha kura mlichoibiwa hamtajiMnaleta siasa za kupuuzi, wanachama wenu wanaamini kuwa nyie ni watu safi kumbe majizi matupu. Toeni maelezo hiyo hela inayozidi laki ni ya nini.
TAKUKURU Ni chombo huru ambacho kinaweza kumhoji mtu yeyote yule
chadema mwenzio huyo mzushi kama nyie wenyewe huoni hata hajaandika ni wapi hataji hata eneo huyo ni chadema mwenzenu kama nyie mliosema mliibiwa kura za uraisi uchaguzi mkuu mkiambiwa tajeni hata kituo kimoja cha kura mlichoibiwa hamtaji
Jikite kwenye mada. Harafu kuwa CCM hakunizuii kukosoa ujinga unafanyika ndani ya chama.Mleta mada Ni Chadema CCM asingeandika hivyo hajataja hata ni wapi hizo ndizo tabia za chadema