secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Mapambano ya kutafuta uhuru wetu kamili watanganyika yasipoozwe na kitu chochote.
Tujaribu kuweka kando yale tunayoweza kuyaweka kando ili tulipiganie Taifa letu, ili Kila mtanganyika aishi kwa amani katika nchi hii bila hofu.
Tarehe 9, December tusipotoka Ili kuwashinikiza wahuni ili watuachie nchi yetu, basi tutambue kuwa titaendelea kuishi kama digidigi katika nchi yetu.
Hatuna nchi nyingine zaidi ya hii, na tumezaliwa hapa Tanganyika ili tuishi ndani yake na kuipigania kwa Kila hali.
Mbaga Jr
ngara23
BICHWA KOMWE -
Mshana Jr
Dr am 4 real PhD