secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
RABAIKAMapambano ya kutafuta uhuru wetu kamili watanganyika yasipoozwe na kitu chochote.
Tujaribu kuweka kando yale tunayoweza kuyaweka kando ili tulipiganie Taifa letu, ili Kila mtanganyika aishi kwa amani katika nchi hii bila hofu.
Tarehe 9, December tusipotoka Ili kuwashinikiza wahuni ili watuachie nchi yetu, basi tutambue kuwa titaendelea kuishi kama digidigi katika nchi yetu.
Hatuna nchi nyingine zaidi ya hii, na tumezaliwa hapa Tanganyika ili tuishi ndani yake na kuipigania kwa Kila hali.
Mbaga Jr
ngara23
BICHWA KOMWE -
Mshana Jr
Dr am 4 real PhD
Kwa bahati sasa vijana wa Tanzania wameshaamka kisiasa, si kama kipindi Cha nyuma.Hatuwezi kukabidhi our beautiful Tanganyika mikononi mwa wahuni
Hakika me binafsi siamini kama uelewa mkubwa kwenye masuala ya siasa uko juu Kwa vijanaKwa bahati sasa vijana wa Tanzania wameshaamka kisiasa, si kama kipindi Cha nyuma.
Kwa kiasi kikubwa vijana wameanza kuamini kuwa SIASA inaweza kuya-shape haya maisha kwa namna hasi au chanya, ndiyo maana mitandaoni wanazidi kuonesha mwamko mkubwa.Hakika me binafsi siamini kama uelewa mkubwa kwenye masuala ya siasa uko juu Kwa vijana
Nina uhakika Samia atatawala Kwa pressure mno, na hivo kupelekea kushindwa
Hakika wana siasa walitumia vitu cheap kama Simba na Yanga, Diamond na Ali Kiba n. K kuwapumbaza vijana na kuibia nchiKwa kiasi kikubwa vijana wameanza kuamini kuwa SIASA inaweza kuya-shape haya maisha kwa namna hasi au chanya, ndiyo maana mitandaoni wanazidi kuonesha mwamko mkubwa.
Mapambano ya kutafuta uhuru wetu kamili watanganyika yasipoozwe na kitu chochote.
Tujaribu kuweka kando yale tunayoweza kuyaweka kando ili tulipiganie Taifa letu, ili Kila mtanganyika aishi kwa amani katika nchi hii bila hofu.
Tarehe 9, December tusipotoka Ili kuwashinikiza wahuni ili watuachie nchi yetu, basi tutambue kuwa titaendelea kuishi kama digidigi katika nchi yetu.
Hatuna nchi nyingine zaidi ya hii, na tumezaliwa hapa Tanganyika ili tuishi ndani yake na kuipigania kwa Kila hali.
Mbaga Jr
ngara23
BICHWA KOMWE -
Mshana Jr
Dr am 4 real PhD
jeshi nalo ni lakisenge sana nahisi hata tukitoka iyo 9D na SAMUYA akatema mbungo na kukwea pipa bado Gen Mkunda atamlinda kwa kushikia nchi kwa kipindi cha wiki kadhaa na hali ikitulia SAMUYA atarudi mzigoni hapo ndio watanganyika tutachokaMapambano ya kutafuta uhuru wetu kamili watanganyika yasipoozwe na kitu chochote.
Tujaribu kuweka kando yale tunayoweza kuyaweka kando ili tulipiganie Taifa letu, ili Kila mtanganyika aishi kwa amani katika nchi hii bila hofu.
Tarehe 9, December tusipotoka Ili kuwashinikiza wahuni ili watuachie nchi yetu, basi tutambue kuwa titaendelea kuishi kama digidigi katika nchi yetu.
Hatuna nchi nyingine zaidi ya hii, na tumezaliwa hapa Tanganyika ili tuishi ndani yake na kuipigania kwa Kila hali.
Mbaga Jr
ngara23
BICHWA KOMWE -
Mshana Jr
Dr am 4 real PhD
Kilichotokea katika uchafuzi wa October 29, kimegusa maisha ya watanzania wengi wa Tanzania wa rika zote.Hakika wana siasa walitumia vitu cheap kama Simba na Yanga, Diamond na Ali Kiba n. K kuwapumbaza vijana na kuibia nchi
Sasa saiv habari kubwa ni siasa hata Simba na Yanga wafanye Nini vijana hawajali sana kuliko siasa
Hata Diamond amlombe zuchu barabarani vijana hawajali hizo habari
Wao wanataka Tanganyika na katiba mpya
kwanza haya ma mipira yabongo tuyasuse tu niyakikuda kikuda tu shenzi kabsaHakika wana siasa walitumia vitu cheap kama Simba na Yanga, Diamond na Ali Kiba n. K kuwapumbaza vijana na kuibia nchi
Sasa saiv habari kubwa ni siasa hata Simba na Yanga wafanye Nini vijana hawajali sana kuliko siasa
Hata Diamond amlombe zuchu barabarani vijana hawajali hizo habari
Wao wanataka Tanganyika na katiba mpya
Jifunzeni Kwa makosa ya mwanzo, jeshi linatetea ugali.jeshi nalo ni lakisenge sana nahisi hata tukitoka iyo 9D na SAMUYA akatema mbungo na kukwea pipa bado Gen Mkunda atamlinda kwa kushikia nchi kwa kipindi cha wiki kadhaa na hali ikitulia SAMUYA atarudi mzigoni hapo ndio watanganyika tutachoka
Naona mama Samuya hana washauri wazuriKilichotokea katika uchafuzi wa October 29, kimegusa maisha ya watanzania wengi wa Tanzania wa rika zote.
Na Ili hili Taifa tilikomboe, muda ni huu maana mchuzi wa mbwa hunywewa ukiwa Bado wa moto.
Yaani kabla damu za ndugu zetu hazijakauka tunatakiwa tuwafurushe wahuni ili iwe heshima kwa wenzetu waliopoteza maisha.