INAUZWA Tunaitambulisha mashine ya ukaushaji (hydrated mashine)

INAUZWA Tunaitambulisha mashine ya ukaushaji (hydrated mashine)

Kijana Mpole

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2016
Posts
235
Reaction score
212
Wajasiriamali tunawakaribisha mashine ya kukausha vitu mbalimbali kama samaki,dagaa,mboga,matunda au nyama.
Tunaitengeneza hapa hapa katika ukubwa tofauti kutokana na hitaji la mteja.

Mashine hii inakuwa na temperature control (sehemu ya kuongeza au kupunguza joto).

Mfano hii hapa chini ni ya kibiashara ikiwa na tray 10 na feni nne na ikiwa na heater yenye joto mpaka 150°C

Katika test ya mwanzo joto lake lilifika 58°c mpaka sasa imekamilika vizuri na inaenda kwa mhusika tayari

karibuni sana gharama zake zinafuatana na hitaji la mteja kama hii hapa ni million sita na laki tano

0774150519 au 0688147644 sms/whatsapp maelezo zaidi

IMG_20210313_122754_2-1.jpg
IMG_20210313_124918_4-1.jpg

View attachment 1749470View attachment 1749471View attachment 1749472View attachment 1749473View attachment 1749474View attachment 1749475View attachment 1749476View attachment 1749477View attachment 1749478View attachment 1749479View attachment 1749480View attachment 1749481View attachment 1749482
View attachment 1749494
 
Heko..Ila boss nadhani ingekuwa vyema unaweka picha ya hiyo mashine ikiwa imekamilika kabisa. .na sio hivyi ipo kwenye hatua za utengenezwaji...na ikiwezekana weka na video kuonyesha inavyofanya Kazi hio mashine na bei yake
 
Kama inakausha dagaa vizuri kabisa,nitumie,niko kisiwa cha kome huku..
 
HONGERENI SANA, lakini hapa sitaki kuwa Mnafiki ingawaje sina lengo la kuwakejeli nyie wenye kiwanda husika bali ninajikejeli mimi mwenyewe kama Mwafrika! Hivi mashine yenye hiyo hadhi kwa wenzetu Ulaya si inawezekana waliweza kuitengeneza miaka 500 iliyopita wakati hapa kwetu hata engineering graduate hawawezi!!

Waafrika tulikwama wapi?!
 
Ila jina uliyoipa siyo,hiyo kulingana na maelezo yako ni 'DEHYDRATOR MACHINE' nipo tayari kusahihishwa
 
Sijaelewa inakausha nini kwa mfumo gani au inatumia kitu gani kujiendesha au kuendeshwa, funguka
 
Inawekwa mkaa ama inatumia gesi au umeme?
Hii itatumia mfumo wa umeme kutokana na hitaji la mteja alivyotaka japo hata gesi inawezekana au mkaa ikatengenezwa maana muhimu ni sensor na temperature control
 
Heko..Ila boss nadhani ingekuwa vyema unaweka picha ya hiyo mashine ikiwa imekamilika kabisa. .na sio hivyi ipo kwenye hatua za utengenezwaji...na ikiwezekana weka na video kuonyesha inavyofanya Kazi hio mashine na bei yake
Asante mkuu kwa wazo lako japo mwenye nayo hii mashine yupo humu humu pia wapo wengine wanahitaji tumeweka hivi waone kuanzia chini yaani from scratch japo kila hatua nitajitahidi niziweke mpaka anakabidhiwa na ninaamini nae atashirikiana nasi kushare hata ikiwa huko kwake yote kusaidiana kupeana taarifa
Karibu kuupitia huu Uzi mkuu
 
HONGERENI SANA, lakini hapa sitaki kuwa Mnafiki ingawaje sina lengo la kuwakejeli nyie wenye kiwanda husika bali ninajikejeli mimi mwenyewe kama Mwafrika! Hivi mashine yenye hiyo hadhi kwa wenzetu Ulaya si inawezekana waliweza kuitengeneza miaka 500 iliyopita wakati hapa kwetu hata engineering graduate hawawezi!!

Waafrika tulikwama wapi?!
Usijikejeli mkuu ni muda wetu sasa ukumbuke tupo dunia ya ngapi na ulaya wapo dunia ya ngapi kikubwa nasi tumeanza haya tujikubali
 
Kama inakausha dagaa vizuri kabisa,nitumie,niko kisiwa cha kome huku..
Karibu ndugu hata huyu tunayemtengenezea lengo ni ukaushaji wa dagaa naamini kama unahitaji umepata suluhisho tupo na utapata mengi endelea kuufuatilia huu Uzi au tuwasiliane nikupe kila hatua mpaka inakamilika
 
Usijikejeli mkuu ni muda wetu sasa ukumbuke tupo dunia ya ngapi na ulaya wapo dunia ya ngapi kikubwa nasi tumeanza haya tujikubali
Nakejeli vipi wakati nime-kudoz kazi yenu?! Concern yangu sio nyinyi kama nyinyi bali Afrika ambayo hatuwez kujificha kwenye kichaka eti cha dunia ya tatu!! Tunaitwa dunia ya tatu si kwa sababu nyingine bali kwa sababu tumechelewa kuwa wabunifu kiasi cha mambo ambayo wenzetu wamefanya miaka zaidi ya 500 iliyopita, sisi ndo tunahangaika nayo sasa! Hao wa dunia ya kwanza sio kwamba walikuta mali za urithi zilizowafanya wawe hapo bali walikuta bara lao kama tulivyokuta sisi, huku sisi tukikuta raslimali nyingi zaidi kuliko wao kiasi kwamba, hata umuhimu wa twiga kuwa kivutio cha kuingiza pesa ukaja kuonekana na walewale wasio na twiga!
 
Asante mkuu karibu
 
Wajasiriamali tunawakaribisha mashine ya kukausha vitu mbalimbali kama samaki,dagaa,mboga,matunda au nyama.
Tunaitengeneza hapa hapa katika ukubwa tofauti kutokana na hitaji la mteja.

Mashine hii inakuwa na temperature control (sehemu ya kuongeza au kupunguza joto).

Mfano hii hapa chini ni ya kibiashara ikiwa na tray tano na feni nne na ikiwa na joto mpaka 150°C karibuni nitazidi kuiwekea maelezo hapa au zaidi karibu sana.

0688147644
Tupo Tabata

View attachment 1725889View attachment 1725890
Hongereni kwa ubunifu.
Maswali (1) Je kwa size kama hiyo unaweza kukausha dagaa kg ngapi kwa wakati mmoja?
(2) Je inatumia mda gani ( kwa kila in take) kukausha hao dagaa?
(3) Na je kwa size hiyo bei yake ni tsh ngapi? ( tupe bei ile inayotumia umeme na bei ya machine itakayotumia gesi)
 
Asante ndugu japo maswali yako ni general sana
Kiufupi hii mashine inategemea kwa kiasi kikubwa uhitaji wako wewe ndio maana joto ni la kuseti kutokana na hitaji lako maana haikaushi kitu kimoja
Ina maana kama ni mboga au matunda kuna joto lake na kama ni dagaa kuna joto lake

Mfano kwa dagaa itafuatana vitu viwili umeweka kiasi gani kila tray makadiro kwa tray ni debe moja mpaka moja na nusu au mbili

Na umeset joto lako kiasi gani mfano kwa maelezo ya huyu tuliemtengenezea yeye anadai kama ni jua huchukua masaa manne kugeuza kwa mara ya kwanza then masaa masaa matatu mpaka manne kwa mara ya pili
Ukiangalia hapo ni masaa nane mpaka kukauka na joto la hiyo sehemu likizidi sana ni chini ya 32°c sasa tukirudi kwenye mashine kama utaseti joto la 55°C unaona kugeuza kwa mara ya kwanza ni ndani ya saa moja na nusu ina maana masaa mawili mpaka na nusu inakuwa tayari ishakausha na kama joto utaongeza zaidi muda unapungua

Japo hutakiwi kuongeza sana kupunguza ubora

Kwa kiasi nimekujibu

Na hii mashine hutumia umeme alihitaji hivyo sababu ana genereta gharama ya mashine kama hii hapo ni million sita na laki tano
Ikiwa imekamilika kabisa
20210410_171011.jpg
20210410_171309.jpg
20210410_154652.jpg
 
Back
Top Bottom