Kijana Mpole
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 235
- 212
- Thread starter
- #21
Mashine za ukaushaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaMashine za ukaushaji
Kwani majiko wanayochomea nyama mnakula miaka yote ni food grade zile?Hizi bati ni food grade?
Mkuu hilo swali halijibiwi hivyo....Kwani majiko wanayochomea nyama mnakula miaka yote ni food grade zile?
Duh maelezo haya yanaonesha bado mko kwenye majaribio...unatoa maelezo ya kufikirika zaidi kuliko halisi.Asante ndugu japo maswali yako ni general sana
Kiufupi hii mashine inategemea kwa kiasi kikubwa uhitaji wako wewe ndio maana joto ni la kuseti kutokana na hitaji lako maana haikaushi kitu kimoja
Ina maana kama ni mboga au matunda kuna joto lake na kama ni dagaa kuna joto lake
Mfano kwa dagaa itafuatana vitu viwili umeweka kiasi gani kila tray makadiro kwa tray ni debe moja mpaka moja na nusu au mbili
Na umeset joto lako kiasi gani mfano kwa maelezo ya huyu tuliemtengenezea yeye anadai kama ni jua huchukua masaa manne kugeuza kwa mara ya kwanza then masaa masaa matatu mpaka manne kwa mara ya pili
Ukiangalia hapo ni masaa nane mpaka kukauka na joto la hiyo sehemu likizidi sana ni chini ya 32°c sasa tukirudi kwenye mashine kama utaseti joto la 55°C unaona kugeuza kwa mara ya kwanza ni ndani ya saa moja na nusu ina maana masaa mawili mpaka na nusu inakuwa tayari ishakausha na kama joto utaongeza zaidi muda unapungua
Japo hutakiwi kuongeza sana kupunguza ubora
Kwa kiasi nimekujibu
Na hii mashine hutumia umeme alihitaji hivyo sababu ana genereta gharama ya mashine kama hii hapo ni million sita na laki tano
Ikiwa imekamilika kabisa View attachment 1749523View attachment 1749524View attachment 1749525