PostGE2025 Tunaitumia vibaya hii Kauli: “TUTALINDA AMANI KWA GHARAMA YOYOTE”

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Huyu analinda amani kwa kuua raia, Yani anachochea moto ili uzime

Ni Wahuni tu wanajaribu kuspin. Kama jweli Tanzania ni kidiwa Cha Amani na tumekuwa na hiyo Amaji kwa zaidi ya miaka 60 wao walikuwa wapi kutoa haki mpaka Wananchi waidai.

My point is kama tayari Amsni ilikuwepo kilichotakiwa kudaiwa ni kole smbacho hakikuwepo, HAKI.
 

Hii kauli anapenda sana kuitumia Mchengerwa ; mume wa mbunge Wanu ambae ni binti ya Samia!! Nadhani anataka kudhihirisha yale aliyosema mkwewe kuwa ana kifua kipana!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…