Tunajaribu sana kupata mtoto bila mafanikio yoyote

Tunajaribu sana kupata mtoto bila mafanikio yoyote

Sabhe

Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
10
Reaction score
1
Mpenzi wangu tumepanga nimpe mimba lakini tukifuata zile tarehe mimba hainasi. Badala yake tarehe zinabadilikabadilika.

Nishaurini nifanye nini au nitumie njia gani maana mwenyewe nakuwa naye kwa kumbahatisha
 
Wahi ukakutane na daktari wa wanawake katika hospital iliyo karibu nawe.
 
Zoezi La Ufyatuaji Lisikushinde Maana Ni Agizo Kwa Awamu Hii.
 
MIMBA YA NINI WAKATI MWENZIO YUPO KWAO??ANYWAY SIO KWAMBA KILA MWANAUME MWENYE UWEZO WA KUSIMAMISHA DUDU ANAWEZA MPA MWANAMKE MIMBA.AU MWANAMKE ANAWEZA KUWA NA TATIZO.CHA KUFANYA MKAWAONE WATAALAMU
 
Sijui kwanini ya kutopanga inashika haraka kuliko ya kupanga

Muda haujafika,ukifika atashika
 
Mpenzi wangu tumepanga nimpe mimba lakini tukifuata zile tarehe mimba hainasi. Badala yake tarehe zinabadilikabadilika.

Nishaurini nifanye nini au nitumie njia gani maana mwenyewe nakuwa naye kwa kumbahatisha
Mwambie ajaribu kutumia lile jan letu wengi wamefanikisha
 
Jani gani mkuu fafanue silijui ilo
0bc653e05868e406e1bceb02a572f719.jpg
atumie jani hilo
 
Back
Top Bottom