ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Acha upumbavu hili jukwaa ni huru na kila mtu ana Uhuru wa kuandika kitu chochote kinacho husiana na jamii kuanzia siasa,dini, uchumi, utamaduni na mambo yote yanayo husu Jamii na ndio inaitwa Jamii forum.Jf sio kanisa Wala msikiti. hizo porojo zenu kapigianeni huko mnako jazana ujinga Kama Ni msikitini huko huko Kama Ni kanisani huko huko msitusmbue