Acha upumbavu hili jukwaa ni huru na kila mtu ana Uhuru wa kuandika kitu chochote kinacho husiana na jamii kuanzia siasa,dini, uchumi, utamaduni na mambo yote yanayo husu Jamii na ndio inaitwa Jamii forum.Jf sio kanisa Wala msikiti. hizo porojo zenu kapigianeni huko mnako jazana ujinga Kama Ni msikitini huko huko Kama Ni kanisani huko huko msitusmbue
Basi mm siwezi kuliaccess mna sio kila mtu anaweza kuliona hilo jukwaaNimeuona jukwaa la dini
Mwombe invisible akuunge tena mwambir huoni uzi wako ndo atakueka kama ilivyokua kwanguBasi mm siwezi kuliaccess mna sio kila mtu anaweza kuliona hilo jukwaa
Usumbufu umeautaka mwenyewe Tu kwanini usingepita Bila kusoma na kwenda zako.Jf sio kanisa Wala msikiti. hizo porojo zenu kapigianeni huko mnako jazana ujinga Kama Ni msikitini huko huko Kama Ni kanisani huko huko msitusmbue
Asante mkuu Kwa kumuweka Sawa huyo mpuuziAcha upumbavu hili jukwaa ni huru na kila mtu ana Uhuru wa kuandika kitu chochote kinacho husiana na jamii kuanzia siasa,dini, uchumi, utamaduni na mambo yote yanayo husu Jamii na ndio inaitwa Jamii forum.