James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Will God forgive us?Kwa kweli!
Yaani yule ni kama mfu tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Will God forgive us?Kwa kweli!
Yaani yule ni kama mfu tu!
Ni maajabu gari la Rais isiyopitisha risasi ikapitisha jiwe [emoji23]Tuache bangi utapondaje jiwe gari la Rais hadi unavunja kioo! Hata hapa ukiponda mawe msafara wa mkuu utapigwa.
Hapa kwetu ni nani amekamatwa na jeshi na kufunguliwa kesi mahakama ya kijeshi!Habari zilizopatikana kutoka nchini Uganda hivi leo ni kuwa Mwanamuziki maarufu nchini humo ambaye pia ni mbunge wa upinzani wa Jimbo la Kyadondo nchini huko Uganda, ameachiliwa huru baada ya kelele nyingi zilizopigwa na vikundi vya kutetea haki za kibinadamu za ndani ya nchi hiyo na kutoka Jumuia ya kimataifa
Tujikumbushe kidogo kuwa Bob Wine na wabunge wenzie 4 kutoka kambi ya upinzani, alikamatwa tarehe 14/8/2018 na kuwekwa ndani na kutakiwa kufunguliwa mashitaka katika Mahakama ya kijeshi kwa makosa ambayo serikali hiyo ya Museveni ilikuwa ikimtuhumu ya uhaini
Baada ya kuwekwa ndani na kutolewa tuhuma za kuteswa akiwa Mahabusu, ndipo vikundi mbalimbali vya kijamii vilifanya maandamano ndani ya Uganda pamoja na nchi jirani ya Kenya, kushinikiza mwanamuziki huyo aachiwe huru
Hatimaye shinikizo hilo linaelekea kuzaa matunda baada ya mwanamuziki huyo kuachiwa huru kwa dhamana na kubadilishwa kwa mashitaka yake badala ya kusikilizwa na Mahakama ya kijeshi, hivi sasa mwanamuziki na Mbunge huyo kijana atafunguliwa mashitaka katika Mahakama za kawaida za kiraia
Je sisi watanzania tunajifunza nini kwa yale yakiyotokea kwa mwanamuziki huyo kukamatwa na kutaka kufunguliwa mashitaka katika Mahakama ya kijeshi na kubadilisha hivi sasa na kumfungulia mashitaka katika Mahakama za kawaida?
Nilichojifunza ni kuwa chadema hawana cha kufundisha watu wengine nchi zingine Ila wao ndio kutwa wana cha kujifunza kutoka nchi zingine tofauti Na CCM ambao nchi nyingi zina cha kujifunza kutoka CCM
Habari zilizopatikana kutoka nchini Uganda hivi leo ni kuwa Mwanamuziki maarufu nchini humo ambaye pia ni mbunge wa upinzani wa Jimbo la Kyadondo nchini huko Uganda, ameachiliwa huru baada ya kelele nyingi zilizopigwa na vikundi vya kutetea haki za kibinadamu za ndani ya nchi hiyo na kutoka Jumuia ya kimataifa