Hivi unaweza kumlinganisha Mwenyekiti wetu na Mwenyekiti wenu?Sawa, Endelea itawezekana tu Mkiweza kuruhusu Mwenyekiti wa Chama chenu aache kuibadilisha katiba ili awe Mwenyekiti wa kudumu. Nyani kweli haoni kundule
Utasubiri sana spika atoleweHivi Spika wa Bunge aliapa kumtii Rais Magufuli au aliapa kuitii na kuiheshimu Katiba ya nchi?
Jibu utakalopata ndiyo argument yangu kuwa ni kwanini Spika Ndugai hatufai kwenye nafasi hiyo ya U-Spika na hivyo anapaswa ang'olewe
Duh.........Nilichojifunza ni kuwa mfumo dume AFRICA una tabia mbaya wamemfukuza huyo spika sababu mwanamke kama ambavyo mfumo dume wa Chadema umewaonea kuwafukuza wabunge wanawake viti maalumu akina halima mdee na wenzie
Na disco jokaBado Ndugai.
Mkuu wala usiwe na shaka malipo ni hapa hapa Duniani. Ndugai alishazoea kuwakemea na kuwanyanyasa Wabunge wa Upinzani hasa Chadema. Sasa wako wenyewe mle. Ataanza kuwanyanyasa wa chama chake mwenyewe. Kuna taarifa kwamba tayari yameshaibuka makundi mara baada ya kutangazwa Baraza la Mawaziri na pili tamko la Jiwe kuwa hatokubali Mgombea Urais 2025 awe aliyemzidi umri.Tinachosema ni kuwa Spika Ndugai aliapa kuitii na kuiheshimu Katiba ya nchi, kabla hajaanza kutumikia madaraka hayo, ni kwanini basi anaikanyaga kanyaga Katiba hiyo kwa kutotaka kuitii Katiba hiyo inayomwambia kuwa mbunge yeyote anapovuliwa uanachama wake na chama kilichomdhamini ubunge wake, automatically anakuwa amevuliwa ubunge wake?
"Ukimwangalia ndugai usoni amekaa kinafiki nafiki sawa na maneno yakeIla anachoongea huyu jamaa kina ukweli fulani,wapenda mabadiriko nchini hasa vyama vya siasa wasitegemee chochote kupitia mfumo huu wa utawala au bunge hili.
Ukimwangalia ndugai usoni amekaa kinafiki nafiki sawa na maneno yake
Yaani ukiambiwa ni msomi unaeza usikubali.
Kati ya viongozi utopolo tulionao nchi hii ndugai no,1. Yaani hata jiwe ana nafuu.
Huyu spika sijui familia yake ina hali gani kitabia!!.
Mke sijui anaishi nyumbani kwake au kwa wengine
TUNA SPIKA AU TUNA MAITI?
Kwani anayetaarifiwa ni Spika au ni Tume iliyowateua!?Hapo jana ya tarehe 11/12/2020 tulipata taarifa kuwa Bunge la Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo limepiga kura ya kutokuwa na imani naye Spika wao wa Bunge, Jeanine Mabunda kwa namna anavyoliendesha Bunge hilo kwa upendeleo na kujiegemeza kwa Rais Mstaafu, Joseph Kabila, pamoja na chama chake.
Nchi yetu Tanzania tunajifunza nini kuhusu kutimuliwa kwa Spika huyo wa Bunge la Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo?
Ni dhahiri kuwa yapo mengi tunayoweza kujifunza kwa Bunge hilo jinsi lilivyosimamia kanuni zake na kumwona Spika huyo wa Bunge kuwa hafai na hivyo kumpigia kura za kukosa imani naye.
Hapa nchini kwetu tunaye Spika ambaye ameamua kuikanyaga kanyaga Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977
kwa kuwakumbatia wale wabunge wa viti maalum wa Chadema.
Ni sharti la kikatiba kuwa mbunge yeyote anapovuliwa uanachama wake na chama chake, basi hatua inayofuata ni kwa Spika kuiandikia barua Tume ya uchaguzi kuieleza kuwa nafasi hizo za ubunge ziko wazi, kwa hiyo ufanyike mchakato mwingine wa kuziziba nafasi hizo.
Tumepata taarifa toka kwa kiongozi wa Chadema, John Mrema, zilizothibitisha kuwa chama hicho kilishapeleka barua kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai, tarehe 29/11/2020 kuhusu maamuzi ya Kamati Kuu ya Chadema, kuwavua uanachama wabunge hao akina Halima Mdee.
Swali tunalopaswa kumuuliza Spika Ndugai ni kwanini anashikwa na "kigugumizi" na hataki kutekeleza sharti hilo la kikatiba kwa kumwandikia barua Mkurugenzi wa Tume, kumjulisha kuhusu kupokea kwake barua hiyo ya Chadema?
Hivi kuna tofauti gani katika uendeshaji wa Bunge kati ya Spika Ndugai na mwenzake Jeanine Mabunda wa Congo aliyetimuliwa kazi kuhusu upendrleo wake kwa Rais mstaafu Joseph Kabila na Chama chake?
Hivi Spika Ndugai ambaye anaonyesha upendeleo wa wazi kabisa kwa Rais Magufuli na chama chake cha CCM, na kuikanyaga kanyaga Katiba ya nchi yetu ni kwanini basi Bunge la nchi yetu lisipange kupiga kura ya kumng'oa kwenye nafasi hiyo ya U-Spika?
Wewe ndiyo una utoto kwa kuja na mifano isiyoendana na uovu wa NdungaiYaani CHADEMA ni wajinga no offense, unategemea Ndugai aende dhidi ya matakwa ya CCM na Mwenyekiti wake, hivi unajua hata huyo Spika wa Congo ametimuliwa sababu ya kuwa upande tofauti na Rais wa nchi yake, mna ndoto za kitoto kama vile mpo katika fantasy world.
Yaani CHADEMA ni wajinga no offense, unategemea Ndugai aende dhidi ya matakwa ya CCM na Mwenyekiti wake, hivi unajua hata huyo Spika wa Congo ametimuliwa sababu ya kuwa upande tofauti na Rais wa nchi yake, mna ndoto za kitoto kama vile mpo katika fantasy world.