Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Botswana ni nchi tajiri,lkn wananchi ni mafukara wakubwa.Namba moja naikataa, Botswana ni Tahiti kwa sababu wametumia rasilimali zao vizuri.
Kama diamond ingekuwa sababu DRC Congo ingeongoza kwa utajiri.
Botswana wanauza Sana nyama nje ya nchi Ila ukilinganisha na Tanzania sisi tuna mifugo zaidi ya kwao na hata wataalamu wengi walioko huko wanaotoka Tanzania
Botswana na ushahidi wataalamu wengi wa Tanzania hasa madaktari wanaishi huko..Tz VS Botswana bora uishi wapi..?
Ni ujinga kulinganisha Botswana na Tanzania,nchi ya watu sijui milioni mbili, ulinganishe na 60 milioni!?Nchi ina rasilimali ya Diamonds na nyama kama biggest exports ila imefanikiwa kutajirisha wananchi wake kwa kiasi kikubwa ,njoo sasa nchi zenye kila rasilimali kama Tanzania hii ,uone sasa,upuuzi mtupu unaendelea humu .
Umasikini uliootopea ,wachache wananeemeka ,majority wanaishi kama wakimbizi
Kwa wale hamjawahi kufika swane mtadanganyika,kule watumishi ndio wanaonekana wana unafuu,lkn sekta zingine zipo hoi.waswane ni maskini wa kutupwa,ukifika Gaborone mji mkuu hata kahama ipo juu.fransis Town ndio usiseme. Alama ya utajiri wa nchi ni lazima uikute kwa wananchi wenyewe.Population Sio kikwazo
Kwa hilo nina kuunga mkono mkuu, unaweza kutoka Francis townie bira kusimamishwa na traffic,was wane nchi yao ni ndogo,na wanaiongiza kwa gprs.Botswana [emoji1052] ina watu chini ya 3M,na zimbos 4M!!!,Tanzania tuendelee kuzaaana kama simbilisi, serikali itatunza bila shaka,tupo 66M,uchumi unakua kati ya 5% to 7% na tunaongezeka kwa more than 3%,it's craze, welldone mtoa mada kwa kuelezea vema Botswana, hadi leo unaweza kuendesha kutoka Kasane hadi Gabbs bila kutoa cent moja kwa traffic officer's, check points zipo 3tu,almost 800km, Dar to Moro(194km)tuna check points 27!!!!,wizi mtupu
mbona zanzibar kuna watu saba elfu tu na rumba kali ndio mfumo wa maishaVipi idadi ya watu hujaweka tujue kama wapo wengi au wachache
Kwasababu zipi.. unasema hivi.?Botswana ni nchi tajiri,lkn wananchi ni mafukara wakubwa.
Tz ipo kwenye list Botswana wala Namibia haipoBiggest economies in Africa
Nigeria
SA
Egypt
Algeria
Morocco
Angola
Kenya
Ghana
Tanzania
Ethiopia
Kwa upande mmoja ndio list ya richest countries in Africa.
Botswana wametumia per capita ambayo imeizidi hata SA,Nigeria,Egypt sasa kama unaamini Botswana imeendeleea kuliko SA au Egypt,Morocco etc haya.
Hata mimi nimemshangaa!.Biggest economies in Africa
Nigeria
SA
Egypt
Algeria
Morocco
Angola
Kenya
Ghana
Tanzania
Ethiopia
Kwa upande mmoja ndio list ya richest countries in Africa.
Botswana wametumia per capita ambayo imeizidi hata SA,Nigeria,Egypt sasa kama unaamini Botswana imeendeleea kuliko SA au Egypt,Morocco etc haya.
Alama ya utajiri wa nchi ni lazima uikute kwa wananchi wenyewe.Kwasababu zipi.. unasema hivi.?
Kipimo Cha utajiri wa Nchi ji GDP sio per Capita income ambayo inafanya individuals life kuwa zuri ila sio Utajiri wa Nchi.Why is Botswana richer than other African countries?
Botswana is richer than most other African countries because of 3 basic factors:
At independence, the country had no more than 12km of tarred roads in 1965. It also had less than 10 graduates. The discovery of diamonds changed all that. Botswana is now the 2nd largest producer of diamonds in the world and the revenues earned have been properly accounted for and used to transform the country.
- DIAMONDS
Corruption in Botswana has been very low. This was a legacy left by the first president of the country, Sir Seretse Khama who ruled as a benign democrat from 1965 to 1984. He was incorruptible and ensured that those who served under him were also.
- VERY LOW LEVELS OF CORRUPTION
Botswana has severally be rated as the least corrupt country in Africa. Corruption, which has been the bane of many African countries, has been almost non-existent here but has grown lately.
Seretse Khama as the new president introduced many policies that were advanced for that era.
- SIR SERETSE KHAMA LEADERSHIP SKILLS
He enthroned the Rule of Law, enforced contracts, allowed market forces to work and so on. These far-reaching policies were the sought The Economist magazine would have recommended and not the socialistic ones many newly independent African countries like Tanzania were embarking on which were to leave them worse off than under colonial rule.
These are the 3 reasons why Botswana is where it is today. Personally, I feel the country could have done better with far deeper policies. Anyway, one must not discount the great progress made since 1965.

Wananchi wenyewe hata mil.2 hawafiki ,watashindwaje kuwa matajiri na Mali wanazo?Nchi ina rasilimali ya Diamonds na nyama kama biggest exports ila imefanikiwa kutajirisha wananchi wake kwa kiasi kikubwa ,njoo sasa nchi zenye kila rasilimali kama Tanzania hii ,uone sasa,upuuzi mtupu unaendelea humu .
Umasikini uliootopea ,wachache wananeemeka ,majority wanaishi kama wakimbizi
kila mtu anayo namna ya kufanya analysis ila,mtazamo wa walio wengi hutumia kipimo cha net profit income kuwa ni indication ya unachomiliki...unaweza kuwa tajiri ila una madeni zaidi ya mali zako.Kipimo Cha utajiri wa Nchi ji GDP sio per Capita income ambayo inafanya individuals life kuwa zuri ila sio Utajiri wa Nchi.
Hao Botswana hata Mil.2 hawajavuka lakini Wana Mali nyingi wanaachaje kuwa Tajiri Kwa level ya mtu mmja mmja?
Hata Norway Wana maisha Bora Kwa level ya individuals lakini Haina utajiri wowote kuizido Russia Kwa sababu ni wachache.
My Take
Wingi ni mtaji mkubwa na utajiri
Watu wajue matumizi ya parameters za Uchumi sio kujiandikia tuu.kila mtu anayo namna ya kufanya analysis ila,mtazamo wa walio wengi hutumia kipimo cha net profit income kuwa ni indication ya unachomiliki...unaweza kuwa tajiri ila una madeni zaidi ya mali zako.
me sizani nchi kama botswana ulinganishe na nigeria UTAKUWA hatujatenda haki..ila ikiwa ina vigezo itapewa sifa na siyo kuirankWatu wajue matumizi ya parameters za Uchumi sio kujiandikia tuu.
By the way Wana good welfare na sio Mataji Kwa sababu kwenye orodha ya Nchi Zenye watu wengi Matajiri Botswana haipo popote na Wala sijawahi isikia.