Tunajifunza nini kwa Botswana kuwa nchi tajiri kuliko nchi nyingine za Afrika?

Biggest economies in Africa
Nigeria
SA
Egypt
Algeria
Morocco
Angola
Kenya
Ghana
Tanzania
Ethiopia
Kwa upande mmoja ndio list ya richest countries in Africa.
Botswana wametumia per capita ambayo imeizidi hata SA,Nigeria,Egypt sasa kama unaamini Botswana imeendeleea kuliko SA au Egypt,Morocco etc haya.
 
Botswana ni nchi tajiri,lkn wananchi ni mafukara wakubwa.
 
Ni ujinga kulinganisha Botswana na Tanzania,nchi ya watu sijui milioni mbili, ulinganishe na 60 milioni!?
 
Population Sio kikwazo
Kwa wale hamjawahi kufika swane mtadanganyika,kule watumishi ndio wanaonekana wana unafuu,lkn sekta zingine zipo hoi.waswane ni maskini wa kutupwa,ukifika Gaborone mji mkuu hata kahama ipo juu.fransis Town ndio usiseme. Alama ya utajiri wa nchi ni lazima uikute kwa wananchi wenyewe.
 
Kwa hilo nina kuunga mkono mkuu, unaweza kutoka Francis townie bira kusimamishwa na traffic,was wane nchi yao ni ndogo,na wanaiongiza kwa gprs.
 
Tz ipo kwenye list Botswana wala Namibia haipo
 
Hata mimi nimemshangaa!.
 
sheria ni muhimili mkuu katika kufikia shabaha ikiwa sheria zetu zinakuwa na ulakini,haitanishangaza pia hata lengo kutoweza kufikika bila kubadili sheria bado tunasafari ndefu ya kutokomeza rushwa na kulinda rasilimali zetu.
 
Kipimo Cha utajiri wa Nchi ji GDP sio per Capita income ambayo inafanya individuals life kuwa zuri ila sio Utajiri wa Nchi.

Hao Botswana hata Mil.2 hawajavuka lakini Wana Mali nyingi wanaachaje kuwa Tajiri Kwa level ya mtu mmja mmja?

Hata Norway Wana maisha Bora Kwa level ya individuals lakini Haina utajiri wowote kuizido Russia Kwa sababu ni wachache.

My Take
Wingi ni mtaji mkubwa na utajiri
 
Wananchi wenyewe hata mil.2 hawafiki ,watashindwaje kuwa matajiri na Mali wanazo?

Kwanza kutawaka watu wachache ni rahisi sana kuliko Tzn yenye over 63mlns people
 
kila mtu anayo namna ya kufanya analysis ila,mtazamo wa walio wengi hutumia kipimo cha net profit income kuwa ni indication ya unachomiliki...unaweza kuwa tajiri ila una madeni zaidi ya mali zako.
 
kila mtu anayo namna ya kufanya analysis ila,mtazamo wa walio wengi hutumia kipimo cha net profit income kuwa ni indication ya unachomiliki...unaweza kuwa tajiri ila una madeni zaidi ya mali zako.
Watu wajue matumizi ya parameters za Uchumi sio kujiandikia tuu.

By the way Wana good welfare na sio Mataji Kwa sababu kwenye orodha ya Nchi Zenye watu wengi Matajiri Botswana haipo popote na Wala sijawahi isikia.
 
me sizani nchi kama botswana ulinganishe na nigeria UTAKUWA hatujatenda haki..ila ikiwa ina vigezo itapewa sifa na siyo kuirank
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…