GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hapa nilipo nchini hatuna Makamu aliyepiga Hela na hatuna hii sijui BOT naomba Ufafanuzi unaongelea nini hapa labda Mkuu? Kwani Wewe uko nchi gani hapa Duniani? au tupo Wote hapa Herzegovina?Makamu ni yule jamaa aliepiga zile hela kule BOT hadi ikasababisha ile ripoti ya CAG isitoke?
Nipo hapa Tajikistan,nazungumzia bank kuu yao ambayo nafikiri ni Bank of Tajikistan(BOT)Hapa nilipo nchini hatuna Makamu aliyepiga Hela na hatuna hii sijui BOT naomba Ufafanuzi unaongelea nini hapa labda Mkuu? Kwani Wewe uko nchi gani hapa Duniani? au tupo Wote hapa Herzegovina?
eti jamani!Makamu ni yule jamaa aliepiga zile hela kule BOT hadi ikasababisha ile ripoti ya CAG isitoke?
hahahahahahaahahahahahhhahahahhah.............Nipo hapa Tajikistan,nazungumzia bank kuu yao ambayo nafikiri ni Bank of Tajikistan(BOT)
Picha hiyo niliiona kule instagram, posted by Kigogo 200014Picha ingenogesha uzi
Kwahiyo umeshindwa kuileta hapa nawewe unaendeleza ujingaP
Picha hiyo niliiona kule instagram, posted by Kigogo 200014