Tunajifunza nini kwa vijana wa CHADEMA waliohamia CCM?

Tunajifunza nini kwa vijana wa CHADEMA waliohamia CCM?

gwargwe

Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
20
Reaction score
1
vijana waliohamia CCM Kukoka CDM Kuhangaika kuwachafua viongozi wa CDM wana nia ya Dhati kupigania maslahi ya watanzania kwa ujumla wao au ni mwendo wa kutumika kisiasa?
 
Wale ni njaa kali tuu na hata CCM wenyewe wanajua hilo. na watawatumia baadae watawa-ulimboka maaana ni design ya malaya wale leo huku kesho kule. Haki inapiganiwa popote, mbona filikunjombe yuko CCM lakini ni mpigania haki
 
HAKUNA CHA FUJIFUNZA HAO NJAA KALI TU! Hawana somo lolote hao subiri kibao kitakavyobadilika
 
Wale ni njaa kali tuu na hata CCM wenyewe wanajua hilo. na watawatumia baadae watawa-ulimboka maaana ni design ya malaya wale leo huku kesho kule. Haki inapiganiwa popote, mbona filikunjombe yuko CCM lakini ni mpigania haki

Mbona unajikanganya mkuu,hebu jipange upya alafu ndo uje tena!
 
Siasa ndivyo ilivyo, kwa maana hata wale wanaohama kutoka CCM kwenda Upinzani pia Hutoa siri za CCM.
 
Back
Top Bottom