Uchaguzi 2020 Tunajifunza somo la sheria toka kwa Tundu Lissu, lakini CCM itashinda kwa kishindo

Uchaguzi 2020 Tunajifunza somo la sheria toka kwa Tundu Lissu, lakini CCM itashinda kwa kishindo

Asikudanganye mtu, LISSU nyota yake sio ya kawaida.

Jamaa amedhamiria kuchukua nchi kweli, namuonea huruma mgombea Urais 2025 kupitia CCM.
Afadhali wewe unaepiga hesabu za 2025.Uchaguzi huo utakuwa mgumu Ila huu wa Sasa,hakuna Cha maana chochote.
 
Wanabodi, katika siku tatu hizi mfululizo kuna mambo mengi ya kisheria tumejifunza kama wana.

Ingawa Tundu Lissu anaweka mitego ili tujiingize kichwa kichwa halafu ije tuonekane ni nchi isiyofuata haki na demokrasia hivyo kutengwa...
Mtashindaje kwaza mzee mwenyewe kampeni zimemshinda anakwenda mapumziko siku nane
 
Hakuna cha maana? Wewe unaota kama sio mahaba.
Achilia mbali swala la mimi kuwa na mahaba na upande wowote,achana pia na swala zima la wewe kujifariji,simuoni LISSU akishinda uchaguzi huu.Tusubirie 2025,huenda akawania nafasi hiyo dhidi ya mgombea dhaifu,ila sio uchaguzi huu.
 
Kuna muda najiuliza, Hivi serikalini kuna wanasheria?.. Maana Lissu anawaendesha tu[emoji1787][emoji1787]. Naona hata IGP Sirro raia wameanza kumdharau[emoji1787]
Ukifanya kazi kwa maelekezo hata uwe nguli vipi,utaonekana lofa tu.

Ukitaka kuamini angalia taasisi zote wanavyofanya kwa matakwa sheria. Huwezi kukuta ubabaishaji.

Wakiamua kuacha taaluma za watu zifanye kazi na sio longolongo,tutakuwa taifa la nidhamu na maendeleo.
 
Back
Top Bottom