Afadhali wewe unaepiga hesabu za 2025.Uchaguzi huo utakuwa mgumu Ila huu wa Sasa,hakuna Cha maana chochote.Asikudanganye mtu, LISSU nyota yake sio ya kawaida.
Jamaa amedhamiria kuchukua nchi kweli, namuonea huruma mgombea Urais 2025 kupitia CCM.
Hakuna cha maana? Wewe unaota kama sio mahaba.Afadhali wewe unaepiga hesabu za 2025.Uchaguzi huo utakuwa mgumu Ila huu wa Sasa,hakuna Cha maana chochote.
Tajiri Kichwa, nani huyo tena alikua akiwanadi wanae waolewe?Ndani apewe maiki kuongea kwenye harusi na kuanza kunadi wanae waolewe nikajua apa hatuna mtu.
Mtashindaje kwaza mzee mwenyewe kampeni zimemshinda anakwenda mapumziko siku naneWanabodi, katika siku tatu hizi mfululizo kuna mambo mengi ya kisheria tumejifunza kama wana.
Ingawa Tundu Lissu anaweka mitego ili tujiingize kichwa kichwa halafu ije tuonekane ni nchi isiyofuata haki na demokrasia hivyo kutengwa...
Achilia mbali swala la mimi kuwa na mahaba na upande wowote,achana pia na swala zima la wewe kujifariji,simuoni LISSU akishinda uchaguzi huu.Tusubirie 2025,huenda akawania nafasi hiyo dhidi ya mgombea dhaifu,ila sio uchaguzi huu.Hakuna cha maana? Wewe unaota kama sio mahaba.
Ukifanya kazi kwa maelekezo hata uwe nguli vipi,utaonekana lofa tu.Kuna muda najiuliza, Hivi serikalini kuna wanasheria?.. Maana Lissu anawaendesha tu[emoji1787][emoji1787]. Naona hata IGP Sirro raia wameanza kumdharau[emoji1787]
Tajiri Kichwa, nani huyo tena alikua akiwanadi wanae waolewe?
Kwakweli hata mimi nilipoliona hili tukio, nilishangaa sana. Alisema ilikuwa fursa kwake.