Tunajikita kuongeza magereza zaidi badala kupunguza uhalifu

Tunajikita kuongeza magereza zaidi badala kupunguza uhalifu

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,155
Reaction score
2,704
Wakati nchi za Ulaya Magereza yanakosa wafungwa huku sisi tunajikita zaidi tuongeze magereza zaidi kuliko kupunguza uhalifu hii maana yake nini ?

Tutegemee kesi za kusingiziwa na kubambikwa kuongezeka kwa kasi zaidi
Tutegemee ongezeko la uharifu zaidi
 
Kuna jela moja kanda flani nimeona inafanyiwa ukarabati na TV imepelekwa ya 80 inches, mapokezi ya wafungwa imewekewa kioo na sim za kuongelea, mlo umerekebishwa na vitanda wanawekewa double decker each room...🤣
 
Noma sana, Samuya atakuwa anapika jambo
 
Maana yake wanajaribu kutuambia tutegemee kamata kamata kuongezeka.!
 
Unaropoka sababu hujawahi kosea ukawekwa magereza.
Achani magereza yajengwe mapya na yaliyopo yarekebishwe ili mrundikano wa watu usiwepo.
Watu wanarundikana sababu magereza machache.
Mfano mzuri ni Dsm ina magereza 5
Wazo, Segerea, Keko, Ukonga, Kimbiji
Yote hayo yana hali mbaya kwa wanadamu. Yamechukua watu mara 3 ya uwezo wake
 
Back
Top Bottom