Ngono sio kilevi bali ni upumbavu, ujinga, kutokujitambua, malezi na tabia ya mtu binafsi au jamii husika.
Na construction ya hivyo vitu vimebase kwenye main fundamentals za maisha ya mtu huyo tangu anazaliwa hivyo ni irreversible or impossible to be altered by any external force baada ya mtu kuwa mtu mzima.
Hivyo kuna solution mbili tu.
1: Mtoto kupewa malezi bora na kumjenga ili ajitambue, ajiheshimu na ajipende mwenyewe. Hii solution itapelekea mpaka jamii ya kizazi kijacho kuwa bora.
2: Njia ya pili grudgingly not friendly but great at some point. ili kuacha hiyo tabia mbovu ni mpaka mtu aone negative effects za huo ujinga face to face.
Technically mtu akishakuwa mtu mzima no matter what ni inamlazimu ajitambue. Kama akishindwa then njia ya pili itamfaa. Kibaya zaidi ni huyo mtu mzima asiyejitambua kuendelea kurithisha vizazi vyake.