Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Pamoja na wagombea wa serikali za mitaa wa vyama vya upinzani kukatwa kwa vigezo mbalimbali vyama hivyo vimeamua kuendelea na kampeni siyo ya uchaguzi wa serikali ya mtaa bali kupima kama wanakubalika au la.
Uzinduzi uliofanywa katika mikao mbalimbali na chadema umewaleta wananchi wengi kwenye jukwaa la siasa kinyume na ilivyopangwa.
Mwitikio huu unaashiria hali ya siasa katika Taifa letu siyo sanduku la kura bali ni imani. Unaweza ukawa na viongozi wengi wasiotokana na wananchi ukaamini unakubalika ila ukweli ukabaki pale pale kwamba kuna chuki kwenye jamii juu yako.
Mikutano ya CCM haiana watu kabisa, haina wazee na vijana bali inawatoto wengi kutokana na mziki. CCM pamoja na kwamba tumelazimisha kupitisha wagombea wetu bila kupingwa tutambue kwamba tunavyoendelea kuwakataza wanachama wetu kushindana huku wenzetu wakiendelea kushindana ndivyo tunavyodumaza chama kwenye matawi.
Kazi ya mwanasiasa ni kushawishi wananchi, kama wana CCM wataacha jukumu lakushawishi wananchi wakabaki na jukumu lakuteuana basi upo wakati CCM haitakuwa na wanasiasa. Kutafakari sana kuhusu kupita bila kupingwa inatusaidia kuandaa watu.