Tunajiungaje na Ualimu ngazi ya cheti?

Eti mwisho ni 4 ya 38 nimetoka kuambiwa ivyo.ila anayejua vizur si mbaya akakujuza.
 
Dah nasikia f4 ya kwanza ni 32, kama ni kweli hiyo 38 hasahau ualimu
 
Kwani moevt washatoa ufafanuzi kuhusu points zinazo ruhusu ku-apply chuo cha ualim?
 
Jaman..sasa wana mpango gan?
Watatoa lin?? Watu tunakosa ata mwelekeo jaman
..khaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…