Tunajiungaje na Ualimu ngazi ya cheti?

Tunajiungaje na Ualimu ngazi ya cheti?

Eti mwisho ni 4 ya 38 nimetoka kuambiwa ivyo.ila anayejua vizur si mbaya akakujuza.
 
Kwani moevt washatoa ufafanuzi kuhusu points zinazo ruhusu ku-apply chuo cha ualim?
 
Jaman..sasa wana mpango gan?
Watatoa lin?? Watu tunakosa ata mwelekeo jaman
..khaa
 
Back
Top Bottom