BRT ilipaswa kuwa fahari ya Dar kwenye masuala ya usafiri wa umma lakini leo BRT umekuwa janga kwa wasafiri wenye kuhitaji ustaarabu kama watu wazima na wazee. Mnajua jinsi unavyohitajika kuwa na msuli na mbio ili uweze kupanda BRT.
Ndivyo itakavyokuwa kwa SGR kama hatuta binafsisha mradi huu. Miundombinu hii ni mizuri lakini inakosa waendeshaji wazuri.
ATCL nayo itaendelea kuendeshwa kwa hasara hadi apatikane mwendeshaji nje ya serkali.