Tunajua SGR isipobinafsishwa mambo yatakuwa hovyo kama BRT

Tunajua SGR isipobinafsishwa mambo yatakuwa hovyo kama BRT

Kwa nini wasipewe waswahili wenye nchi yao?
Utumwa wa fikra utaisha lini?
Maendeleo endelevu kwa nchi yoyote huletwa na wenye nchi.
Msingi wa umasikini wa nchi za Africa umejengeka kwenye fikra tegemezi za wananchi na viongozi kuona kuwa hawawezi bila msaada wa wageni.
Sababu sisi wenyewe tu wezi sana !
Kwa sababu kila mmoja wetu anadhani kupata maisha mazuri ni lazima awe tajiri !
 
Back
Top Bottom