Tatizo wizi, kwa upande wa wasimamizi wa mradi.Ngozi nyeusi sijui ina shida gani!! Hata ile reli ya TAZARA tumeshindwa kuisimamia kwa sababu tu ya wizi, ubinafsi, uzembe, ubabaishaji, uvivu, usimamizi mbovu, nk.
Tulikabidhiwa na Wachina mwaka 1975 ikiwa katika ubora wa hali ya juu kabisa! Leo hii tumebakiwa na magofu na vyuma chakavu!!
Wapi Serikali imeweza kuendesha kwa ufanisi kwa muda mrefu?Km hatuwezi kuendesha shirika basi serkali ijiuzulu
Wapo wazalendo wengi wenye uwezo wa kusimamia serkali ikanyoka
Wapo wazalendo wenye uchungu na TANGANYIKA yaoWapi Serikali imeweza kuendesha kwa ufanisi kwa muda mrefu?
Nu suala la muda tu!
Jibu swali acha maneno ya kujifarijiWapo wazalendo wenye uchungu na TANGANYIKA yao
Unataka nijibu km unavyofikiria wewe?Jibu swali acha maneno ya kujifariji
Asante kwa kukosa jibu. Ndo uelewe sio rahisi kama unavyodhani.Unataka nijibu km unavyofikiria wewe?
kwa kweli bora wampe mwekezaji mapema kabisa.BRT ilipaswa kuwa fahari ya Dar kwenye masuala ya usafiri wa umma lakini leo BRT umekuwa janga kwa wasafiri wenye kuhitaji ustaarabu kama watu wazima na wazee. Mnajua jinsi unavyohitajika kuwa na msuli na mbio ili uweze kupanda BRT.
Ndivyo itakavyokuwa kwa SGR kama hatuta binafsisha mradi huu. Miundombinu hii ni mizuri lakini inakosa waendeshaji wazuri.
ATCL nayo itaendelea kuendeshwa kwa hasara hadi apatikane mwendeshaji nje ya serkali.
Huvi unategemea mradi unaendeshwa na serikaliMara kwanza mlisema SGR haiwezi kukamilika na kuanza kazi kamwe! Sasa hivi mnaanza kiweka ulozi kwenye uendeshaji. Sijui baadae kitafuata nini!
Huo ni upeo wako wa kufikiri ulipoishiaAsante kwa kukosa jibu. Ndo uelewe sio rahisi kama unavyodhani.
Kwa nini wasipewe waswahili wenye nchi yao?-LIFANYIKE MAPEMA WAPEWE WAZUNGU SIO WAARABU-although trc won't like that at all, wapewe wenye uwezo and then wajikomiti, but it's too early, ni vema baada ya mradi mzima kukamilika ndipo haya yakafanyika!
Uwizi uwizi uwizi na wezi wezi wezi wa mali za Umma ndio janga letu kuu 😱BRT ilipaswa kuwa fahari ya Dar kwenye masuala ya usafiri wa umma lakini leo BRT umekuwa janga kwa wasafiri wenye kuhitaji ustaarabu kama watu wazima na wazee. Mnajua jinsi unavyohitajika kuwa na msuli na mbio ili uweze kupanda BRT.
Ndivyo itakavyokuwa kwa SGR kama hatuta binafsisha mradi huu. Miundombinu hii ni mizuri lakini inakosa waendeshaji wazuri.
ATCL nayo itaendelea kuendeshwa kwa hasara hadi apatikane mwendeshaji nje ya serkali.
Tatizo akili za mwafrika, ni fupi mno, ataharibu by any mean, mwafrika hatenganishwi na ubinafsi, umimi, N. K.Kwa nini wasipewe waswahili wenye nchi yao?
Utumwa wa fikra utaisha lini?
Maendeleo endelevu kwa nchi yoyote huletwa na wenye nchi.
Msingi wa umasikini wa nchi za Africa umejengeka kwenye fikra tegemezi za wananchi na viongozi kuona kuwa hawawezi bila msaada wa wageni.
Hali hiyo ipo zaidi kwenye mali za Uma ambapo hakuna kujali, viongozi wengi hawana uwezo kifikra na pia urasimu katika maamuzi.Tatizo akili za mwafrika, ni fupi mno, ataharibu by any mean, mwafrika hatenganishwi na ubinafsi, umimi, N. K.