Meragraphics
Member
- Dec 23, 2024
- 37
- 45
Hii elimu ya usalama barabarani mbona kama inatolewa kwa madereva, vipi kuhusu sisi tunaoendesha miguu yetu. Mana tunakufa kizembe sababu baadhi ya alama za barabarani hatuzielewi wala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NIlienda Mbeya kitambo kidogo, Dereva kwenye vivuko anasimama, hata kama hakuna wa kuvuka, Hapa Dar ni upumbavu mtupu watu wamejaa kwenye vivuko madereva wanapiga mwendo tu..Case ya watembea kwa miguu kugongwa na magari kwa uzembe wao ni ndogo.
Mtembea kwa Miguu ajue pahala pa zebra na taa za kumruhusu kuvuka basi.
The rest aende driving school.
NIlienda Mbeya kitambo kidogo, Dereva kwenye vivuko anasimama, hata kama hakuna wa kuvuka, Hapa Dar ni upumbavu mtupu watu wamejaa kwenye vivuko madereva wanapiga mwendo tu..
Shida ni kwamba kuwa na akili timamu siyo kigezo cha mtu kutumia barabara Kuna watoto na vichaa pia wanatumia hizo barabara je usalama wao upo mikononi mwa Nani kama siyo maderevaNafikiri kusimama kwenye kivuko ambacho hakina mtu sio sawa japo kupunguza mwendo ni sahihi. Lakini pia sehemu zenye watu wengi, wavukaji wanatakiwa watumie akili kujiongoza na maanisha, wajikusanye kidogo ndio wavuke kama kundi. Wakifikiri wao tu ndio wana haki ya kuvuka kisa mistari ya pundamilia, magari yatapita saa ngapi? Japo suhukisho hapa ni vivuko vya juu....
Gwa magari yalijazana Dar, madereva, wakisimsma kila Zebra hata pasipo na watu, sio kutengeneza foleni kubwa huko.NIlienda Mbeya kitambo kidogo, Dereva kwenye vivuko anasimama, hata kama hakuna wa kuvuka, Hapa Dar ni upumbavu mtupu watu wamejaa kwenye vivuko madereva wanapiga mwendo tu..
Shida ni kwamba kuwa na akili timamu siyo kigezo cha mtu kutumia barabara Kuna watoto na vichaa pia wanatumia hizo barabara je usalama wao upo mikononi mwa Nani kama siyo madereva
hizi alama kuna maeneo unakuta alama ya tuta ila kwenye barabara hakuna tuta lenyeweHii elimu ya usalama barabarani mbona kama inatolewa kwa madereva, vipi kuhusu sisi tunaoendesha miguu yetu. Mana tunakufa kizembe sababu baadhi ya alama za barabarani hatuzielewi walaView attachment 3185538
Alafu Kuna Hawa bodaboda Yaani wanadrive as if wanatembea kwa miguu. They don't care😒😒Pamoja na kwamba Dereva ndiye muhusika mkuu lakini Kila mtu ana husika kwa namna moja au nyingine;
Mfano: Wewe unayevuka barabara unatakiwa uwaelekeze/uwasaidie watoto na walio na changamoro nyingine.
Magari pia hupata hitilafu za breki nk nk hivyo usione tu mistari ya pundamilia ukafikiri upo salama. Ni vizuri utumie akili yako vizuri lakini pia uwasaidie wengine (watoto na wenye changamoto nyingine)
hizi alama kuna maeneo unakuta alama ya tuta ila kwenye barabara hakuna tuta lenyewe
😂😂Hapo sasa Kuna mawili aidha wamefanya marekebisho ya barabara wakasahau kuweka Tena tuta au viwango vya barabara ni vya mchongo so tuta limelika baada ya kutumika sanahizi alama kuna maeneo unakuta alama ya tuta ila kwenye barabara hakuna tuta lenyewe
wamelisahau😂😂Hapo sasa Kuna mawili aidha wamefanya marekebisho ya barabara wakasahau kuweka Tena tuta au viwango vya barabara ni vya mchongo so tuta limelika baada ya kutumika sana
Ohooooh🥺🥺 sasa si mnafundishwa driving school babu au imekaaje hiiDah,nimeendesha vyombo vya moto toka 1982 sijawahi kukutana na hiyo alama ya pili.