Tunakikumbatia kiswahili saana. Mkutano mkubwa wa kimataifa watu wanataka kujua nini kinaendelea. Tafuteni wazungumzaji wa lugha ya kiingereza

Tunakikumbatia kiswahili saana. Mkutano mkubwa wa kimataifa watu wanataka kujua nini kinaendelea. Tafuteni wazungumzaji wa lugha ya kiingereza

Mjapan hajawahi kujisikia aibu kuongea lugha yake, Mchina pia, Mwarabu pia, Mreno pia. Hata Mfaransa pia, Muingereza pia.

Mwarabu ana majina yake ya asili, Mzungu pia, Mchina kabisa halafu kuna Mwafrika wa Kishumundu anayeitwa Precious kwa kushirikiana na Dada yake anayeitwa Khadija wanamcheka msukuma mkokotenu wa watu anayeitwa Zawadi.

Nafikiri kuna tatizo kubwa kwenye kichwa cha mtu mweusi.

Hatukatai English ni lugha kubwa ila inapofikia hatua unamuona Mtanzania mwenzako asiyeweza kunyoosha hiyo lugha kwa ufasaha na huku ukikiona Kiswahili ni fedheha kimaitaifa, that's so low of you, my brother.

You are better than that.
Nadhani mnachanganya mafaili hapa.....

Kama unajua hauwezi kuzungumza lugha na kujenga hoja kwanini unaitumia?

Ningefurahi saana kama tungetumia kiswahili kama mataifa kibao yanavyotumia lugha zao.....Kisha wasiosikia wanatafsiriwa.

Sasa wewe kwenye makabrasha yako ushasema kiingereza ni official language yako.....ukiulizwa swali unajin'gatan'gata na kutoeleweka unachosema kama anavyofanya huyu Doctor wa clean cooking mlie muweka hapo juu jukwaani.

The guy can't even comprehend the question.....he keeps on mentioning Samia Samia.....
 
Back
Top Bottom