Tunakikumbatia kiswahili saana. Mkutano mkubwa wa kimataifa watu wanataka kujua nini kinaendelea. Tafuteni wazungumzaji wa lugha ya kiingereza

Nadhani mnachanganya mafaili hapa.....

Kama unajua hauwezi kuzungumza lugha na kujenga hoja kwanini unaitumia?

Ningefurahi saana kama tungetumia kiswahili kama mataifa kibao yanavyotumia lugha zao.....Kisha wasiosikia wanatafsiriwa.

Sasa wewe kwenye makabrasha yako ushasema kiingereza ni official language yako.....ukiulizwa swali unajin'gatan'gata na kutoeleweka unachosema kama anavyofanya huyu Doctor wa clean cooking mlie muweka hapo juu jukwaani.

The guy can't even comprehend the question.....he keeps on mentioning Samia Samia.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…