Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli kabisa hapa ndio mahala pakeSafi sana.... Kwa wale wenye viwanja vilivyokaa kama skons wamepata suluhisho
Mambo vp mkuu......!Tunakodisha mashine na mitambo mbalimbali kwa bei nafuu.
Mashine zetu ni kwa masaa 8 tu
lowbed pia zinapatikana bei zetu ni kama ifatavyo.
View attachment 3260471
shukrani ndugu kwa sasa hatuna nafasi ila kama ikipatikana nitairudia no.Mambo vp mkuu......!
Nna mdogo wng n Machine operator( Excavator, Bulldozer ) Ana uzoefu wa maka 6.
Kama kuna nafasi hpo kwenu ncheck nkuunganishe nae 0693296809
tupo sinza makaburini karibu sana 0623593536ofisi zenu zipo sehemu gani?
piga hizo namba mkuuNahitaji kuchimbiwa kisima cha urefu wa kati, nipo Tanga. Maelekezo...?!
Wamekwambia wanachimba visima?mamtu mengine bwana kama upinde grouppiga hizo namba mkuu
Mafuta yanakua juu
karibu sana nduguWamekwambia wanachimba visima?mamtu mengine bwana kama upinde group
Hivi operator anakuwa wenu au anatafutwa na mteja?karibu sana ndugu
operator ni wetu karibu sana mkuu.Hivi operator anakuwa wenu au anatafutwa na mteja?
aaaaanh😂😂😂😂😂hapana ndugu mafuta ni juu yako na usafiri ni juu yako karibu sana
Nimekata kabisa shauri dooooh.KWA WALE WAGENI AMBAO HAWAJAWAHI KUKODI TAMBUA HAYA.
*MAFUTA NI JUU YAKO
*KAMA CHOMBO KITASUMBUA AU KUHARIBIKA MATENGENEZO NI JUU YETU.
KAZI NI MASAA 8
*GHARAMA ZA LOWBED AU GARI LA KUBEBEA MTAMBO NI JUU YAKO.
##MITAMBO YETU BADO MIPYA KARIBUNI