Tunakodisha Mashine na Mitambo mbalimbali kwa bei nafuu

Tunakodisha Mashine na Mitambo mbalimbali kwa bei nafuu

KWA WALE WAGENI AMBAO HAWAJAWAHI KUKODI TAMBUA HAYA.
*MAFUTA NI JUU YAKO
*KAMA CHOMBO KITASUMBUA AU KUHARIBIKA MATENGENEZO NI JUU YETU.
KAZI NI MASAA 8
*GHARAMA ZA LOWBED AU GARI LA KUBEBEA MTAMBO NI JUU YAKO.
##MITAMBO YETU BADO MIPYA KARIBUNI
Kwa walio mkoa ishu inakaaje. Project iko mkoa..kama unavyojua tena mambo ya ukandaras
 
Kwa walio mkoa ishu inakaaje. Project iko mkoa..kama unavyojua tena mambo ya ukandaras
1. fika ofisini
2. chagua mashine unayo hitaji gharama ni hizo zilizo orodheshwa kwenye chart.
3.pia tambua garama kusafirisha mashine ni juu yako.
4. mashine inaruhusiwa kuipeleka popote pale baada ya malipo.
 
Back
Top Bottom