Tunakodisha Mashine na Mitambo mbalimbali kwa bei nafuu

igihumbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2017
Posts
529
Reaction score
483
Tunakodisha mashine na mitambo mbalimbali kwa bei nafuu.
Mashine zetu zinapatikana kwa muda wa masaa 8 tu.
Pia, tunatoa huduma za lowbed. Bei zetu ni kama ifuatavyo:

Wasiliana nasi:
0694185384
0623593536

karibuni sana mashine ni zauhakika
 
Tunakodisha mashine na mitambo mbalimbali kwa bei nafuu.
Mashine zetu ni kwa masaa 8 tu
lowbed pia zinapatikana bei zetu ni kama ifatavyo.
View attachment 3260471
Mambo vp mkuu......!
Nna mdogo wng n Machine operator( Excavator, Bulldozer ) Ana uzoefu wa maka 6.
Kama kuna nafasi hpo kwenu ncheck nkuunganishe nae 0693296809
 
Mambo vp mkuu......!
Nna mdogo wng n Machine operator( Excavator, Bulldozer ) Ana uzoefu wa maka 6.
Kama kuna nafasi hpo kwenu ncheck nkuunganishe nae 0693296809
shukrani ndugu kwa sasa hatuna nafasi ila kama ikipatikana nitairudia no.
 
Nahitaji kuchimbiwa kisima cha urefu wa kati, nipo Tanga. Maelekezo...?!
 
NJOO UPATE KAZI ILIYO BORA CHINI YA MAOPERATOR MAKINI NA WENYE KUJUA KAZI
 
KWA WALE WAGENI AMBAO HAWAJAWAHI KUKODI TAMBUA HAYA.
*MAFUTA NI JUU YAKO
*KAMA CHOMBO KITASUMBUA AU KUHARIBIKA MATENGENEZO NI JUU YETU.
KAZI NI MASAA 8
*GHARAMA ZA LOWBED AU GARI LA KUBEBEA MTAMBO NI JUU YAKO.
##MITAMBO YETU BADO MIPYA KARIBUNI
 
Nimekata kabisa shauri dooooh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ