KWA WALE WAGENI AMBAO HAWAJAWAHI KUKODI TAMBUA HAYA.
*MAFUTA NI JUU YAKO
*KAMA CHOMBO KITASUMBUA AU KUHARIBIKA MATENGENEZO NI JUU YETU.
KAZI NI MASAA 8
*GHARAMA ZA LOWBED AU GARI LA KUBEBEA MTAMBO NI JUU YAKO.
##MITAMBO YETU BADO MIPYA KARIBUNI
1. fika ofisini
2. chagua mashine unayo hitaji gharama ni hizo zilizo orodheshwa kwenye chart.
3.pia tambua garama kusafirisha mashine ni juu yako.
4. mashine inaruhusiwa kuipeleka popote pale baada ya malipo.