Tunakodisha PS3 na PS4

Joined
Oct 28, 2020
Posts
8
Reaction score
8
Habari za wakati huu wakuu,
Tunakodisha gaming consoles, bei ni kama ifuatavyo

15,000/= Kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 3 usiku,
10,000/= Kuanzia saa 3 usiku mpaka saa 3 asubuhi,
30,000/= Kwa siku mbili
50,000/= Kwa wiki nzima

Wasiliana nasi (0777821973 AU +255 777 821 973)

Kutunza vifaa.

Mteja anahimizwa kutunza vifaa (PlayStation, Controllers,Wires, na kifaa chochote utakachopewa) kwa uangalifu.

Iwapo mteja ataharibu kifaa chochote atawajibika kulipia.

Huduma hii ni kwa wakazi wa Dar es salaam tuu.View attachment 1882322


 
Hivi ndio vinachangia baadhi ya watoto wetu wasifike shule wanaishia mabandani
 
Yana soko kiasi gani mkuu niyakusanye huku nilipo, kuna soko la used hapa na je yakiwa yametumika kwa mda upi ndio dili?

Mkuu nipe dili kama hutojali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…