Tunakodisha PS3 na PS4

Tunakodisha PS3 na PS4

Joined
Oct 28, 2020
Posts
8
Reaction score
8
Habari za wakati huu wakuu,
Tunakodisha gaming consoles, bei ni kama ifuatavyo

15,000/= Kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 3 usiku,
10,000/= Kuanzia saa 3 usiku mpaka saa 3 asubuhi,
30,000/= Kwa siku mbili
50,000/= Kwa wiki nzima

Wasiliana nasi (0777821973 AU +255 777 821 973)

Kutunza vifaa.

Mteja anahimizwa kutunza vifaa (PlayStation, Controllers,Wires, na kifaa chochote utakachopewa) kwa uangalifu.

Iwapo mteja ataharibu kifaa chochote atawajibika kulipia.

Huduma hii ni kwa wakazi wa Dar es salaam tuu.View attachment 1882322


IMG-20210806-WA0007.jpg
 
Hivi ndio vinachangia baadhi ya watoto wetu wasifike shule wanaishia mabandani
 
TANGAZO,TANGAZO,TANGAZO

TUNAKODISHA!
(GAMING CONSOLES)


[emoji1485]15,000/= Kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 3 usiku,
[emoji1485]10,000/= Kuanzia saa 3 usiku mpaka saa 3 asubuhi,
[emoji1485]30,000/= Kwa siku mbili
[emoji1485]50,000/= Kwa wiki nzima
WASILIANA NASI WHASTUP (0777821973 AU +255 777 821 973)

VIGEZO NA MASHARTI

KUTUNZA VIFAA. Mteja anahimizwa kutunza vifaa (PlayStation, Controllers,Wires, na kifaa chochote utakachopewa) kwa uangalifu. Iwapo mteja ataharibu kifaa chochote atawajibika kulipia.

KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM TU.View attachment 1882322View attachment 1882323
Yana soko kiasi gani mkuu niyakusanye huku nilipo, kuna soko la used hapa na je yakiwa yametumika kwa mda upi ndio dili?

Mkuu nipe dili kama hutojali
 
Back
Top Bottom