The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 838
Naam wana JF hali inavoelekea sasa ni mbaya kuliko mda wowote.
Serekali ya ccm kupitia mamlaka ya mapato Tanzania TRA imetangaza kua wanaofanya biashara online, wanaoishi Airbnb, na wanaochapisha matangazo katika mitandao ya kijamii kama Instagram wanawapa siku 30 ili kuweza kujisajili na kulipa kodi rasmi.
What's next phase ? Karibun tutangaziwa kutembea kwa miguu barabara ya lami lazima ulipe, your underwear pia inahitaji kulipiwa kodi.
Hii haijawahi kutokea popote Serekali ya ccm ituachie nchi.
Watanzania tunahitaji reform sasa than ever.