MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,294
- 4,920
Nimeandika na kufuata mara tano nimeona niache tu. Itoshe kusema watu hawamjui Mungu wala shetani japo wanashinda kwenye nyumba za ibada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
That's exact point,,,wanahisi fikra zao ndo MUNGUNimeandika na kufuata mara tano nimeona niache tu. Itoshe kusema watu hawamjui Mungu wala shetani japo wanashinda kwenye nyumba za ibada
Wanajifanyaga huo mstari hawauoni.🤣🤣🤣🤣muujiza wa kwanza wa Yesu ulikuwa kutengeneza pombe, lakini mlokole hawezi kukubali sehemu iyo
Hebu tuelezee huo wembamba wa njia inamaanisha nini? Halafu tuambie uhusiano wa njia nyembamba na mpiraHuyo Mchungaji Misholi yupo sahihi kabisa na kasema ukweli shida inakuwa ni kwa wapokeaji na ambao kilichosemwa kinawagusa lazima watafute kichaka cha kujifichia huyo aliyempinga kwa hoja dhaifu mkumbushe njia ya kwenda uzimani ni nyembamba sana na waipitao ni wachache kwa maana ya kwamba hiyo njia ina kujikana nafsi sana kwa kutoyapenda ya ulimwengu na kufuata amri, sheria na maagizo ya Mungu tu
Kinyume na hapo wewe hamia njia ya upotevuni huko wapo wengi ambao hawa hufanya wapendayo wao tu hawana amri sheria nk
Ile haikuwa pombe,ilikuwa juisi ya zabibu tena ilikuwa njema na tamu na fresh.(haijachachuka).🤣🤣🤣🤣muujiza wa kwanza wa Yesu ulikuwa kutengeneza pombe, lakini mlokole hawezi kukubali sehemu iyo
Kuna wakati muwage mnaficha aibu bana. Haya unajitungia wewe. Kusema tamu kama haiondoi thana kuwa alitengeneza divaiIle haikuwa pombe,ilikuwa juisi ya zabibu tena ilikuwa njema na tamu na fresh.(haijachachuka).
Ila pombe ni stage ya fermentation ya kuchachuka .
ingekuwa pombe kwa jinsi ilivyokuwa tamu vile na nyingi kiasi kile lazima walevi wangelewa lakini hakuna aliyekewa.
Nani kasema?Ila Kiboko ya wachawi na akina Tito ndo wanampa MUNGU utukufu??
Lazima ujue atakayevumilia nini? hapo Yesu alikuwa anamaanisha atayeweza kushikilia imani yake katikat ya changamoto za dunia huyo ataokolewa, cha kwanza lazima huyo mtu awe ameamini na kubatizwa(kuokoka) yaani kumkiri YesuMathayo 24:13
Lakini atakayevumilia mpaka mwisho ndiye atakayeokolewa.
UONGOWaliteswa, wakafa, wakazikwa kisha wakafufuka pamoja na Kristo katika mauti yake.
Leo hii wako ndani ya Kristo. Na Kristo ameketi mbinguni kwa Mungu baba.
Maana yake wao wapo Mbinguni ndani ya Kristo, ndio maana ya Kuokolewa na Kristo.
Yule mwizi wa aliyeahidiwa uzima na Yesu msalabani ulimbatiza weweLazima ujue atakayevumilia nini? hapo Yesu alikuwa anamaanisha atayeweza kushikilia imani yake katikat ya changamoto za dunia huyo ataokolewa, cha kwanza lazima huyo mtu awe ameamini na kubatizwa(kuokoka) yaani kumkiri Yesu
sasa wewe ni Yesu? Yesu ametoa maagizo Enendeni ulimwenguni mkawafanye mataifa kuwa wanafunzi wangu mkiwabatiza, maana yake unapomuamini Yesu unatakiwa ubatizwe na hapo unakuwa umekaa upande wakeYule mwizi wa aliyeahidiwa uzima na Yesu msalabani ulimbatiza wewe
Unajua Mungu ameweka pombe kwa ajili ya kuleta furaha baada ya kazi ngumu? Au hakuna andiko linalounga mkono pombe?Ile haikuwa pombe,ilikuwa juisi ya zabibu tena ilikuwa njema na tamu na fresh.(haijachachuka).
Ila pombe ni stage ya fermentation ya kuchachuka .
ingekuwa pombe kwa jinsi ilivyokuwa tamu vile na nyingi kiasi kile lazima walevi wangelewa lakini hakuna aliyekewa.
mkuu hapo unakuwa mwanafunzi wake, na ni kweli unakuwa upande wake. suala la kuokoka sasa ni mpaka uvumilie hadi mwisho ndo uokokesasa wewe ni Yesu? Yesu ametoa maagizo Enendeni ulimwenguni mkawafanye mataifa kuwa wanafunzi wangu mkiwabatiza, maana yake unapomuamini Yesu unatakiwa ubatizwe na hapo unakuwa umekaa upande wake