Tunakoelekea sasa kunatisha...Ndoa za kulazimisha hizi mmh!

This is so typical of men.... kazi ni kujudge, kazi ni kulaumu.... Wanaume wangapi wanashtuka, guswa ama kukaa na kutafakari kuwa yeye kachukua nafasi ipi katika yale ambayo mwanamke kafanya? Wanaume wangapi wapo accountable and responsible in such matters? Hili ni tukio tu ambalo FL1 kawakilisha hapa, ila kumbuka kuna beyond that. Kuna influences... kuna circumtances ambazo zimepelekea huyo mwanamke kutenda ukatili huo. Either the way anaishi, either yale ambayo amepitia, either hali yake ya maisha na mengine meengi! (thou bado sio excuse).

Kutumia hili tukio na kujudge wanawake tuna roho mbaya ni makosa... kuna mengi wanawake tunafanya ambayo ni imani na powerful na ambayo katika hali ya kawaida mwanadamu mwingine kama mwanaume hawezi elewa wala kufikia hicho kiwango... Akina mama wote hawa walo kuzunguka and have so much love for their kids hawatoshi kukutambusha kuwa wanawake ni extra-ordinary creatures? Lukolo taratibu kaka.....
Read between lines, I have not judged women on the basis of the incidence brought forth by FL1.
 
hapo sio wanaume kua na roho mbaya ila huyo mama pia hana akili vizuri...mtoto wako ni mtoto wako mpaka kufa...huyo mwanaume atakuoa miezi sita atapata mwingine atakuacha...ndio maana sometimes they say wanawake wana akili kama za samaki..huu ni mfano bora
 
Wanawake walio wengi hawana tena huruma wala utu, wanatoa sana mimba sasa, mitaani na makazini wanaongoza ugomvi wanauwa watoto, mwingine jana anakubari binti wa miaka 3 aingiliwe na boyfriend wake alafu anamtete kwa ndugu na polisi source leo tena clouds fm jana. Kweli mwanamke ufalme wake ni duniani, mwanaume ufalme wake mbinguni.

Huyo boyfriend yeye umemuona ana roho nzuri?

Wanaume wanaosema "mimi sitaki hiyo mimba, KAITOE" wana roho nzuri?
Wanaolawiti watoto wadogo kama huyo unaemwongelea ana roho nzuri,?

Ukiamua kuhukumu matendo ya watu jaribu kuangalia pande zote mbili maana mengi ya pande mbili.
 
Huu ni zaidi ya ukatili, pia mama huyu pamoja na huyo maluuni mwenzie wote wanatakiwa kupimwa akili zao kama hazina kasoro, haiingii akilini njemba uje uniletee kibesi kwa mwanangu "eti kama unanipenda kweli ondoa huyo kifaranga wako" nadhani ntakutafuna mzima mzima.

Wanaume wamejaa tele tena wenye mapenzi na utu kazi ni kuchagua tu, nenda zako mwanahizaya. niliposikia taarifa hii asubuhi furaha yangu yote iliyeyuka. Mtanisamehe kwa maneno makali ya leo.
 
Haya ni madhara ya mfumo dume tuliojiwekea sisi wenyewe.

Siwezi mlaumu mama peke yake, labda mama ntamlaumu 45% na jamii 55%.
FirstLady1, umeweza ona ubaya huo sababu umewezeshwa kujitambua na jamii inayokuzunguka.
Je umeangalia mazingira ya huyo mama yakoje? Kuanzia elimu, kipato, malezi aliyopata.

Ngoja niendelee kueleza kidogo.
Mwanamke akipata mimba kabla ya ndoa, jamii inamtazamaje? anahukumiwaje? Je mimba inakuwa kapata peke yake? Na je ana hata huo uwezo kwa wakati huu kumhudumia mtoto wake? Aliyezaa naye anachangia au hata anamtambua mtoto huyo? ni wangapi wako tayari kumsaidia mwanamke huyo hata kwa machngo wa mawazo chanya jinsi ya kuendelea na maisha yake?

Jamii imemwaminisha kwa kiwango gani kuwa mwanamke bila mume hajakamilika? Hapa ppenyewe utasikia mwanamke kuolewa muhimu. Na nachukulia mtu anayeweza kuingia jf angalau ana elimu hata ya fomu foo au hata kama hana uelewa ni mtu anayeweza angalau jitegemea na kuweza kuwa na kipato cha ziada cha kulipia intanet. Huyu mama amekua akiaminishwa mwanamke lazima aolewe, halafu leo ana mtoto ambaye anamzuia kuolewa, kwa nini asiondoe kikwazo chake cha kuolewa ili aolewe?

Hapa naweza uliza, ni wanawake wangapi waliowezeshwa na wametoa mimba kwa kuhofia kutoolewa kama watazaa kabla ya kuolewa? wanatofautiana na huyu? N ttfauti yao iko wapi?

Unajua huyu mama ni kiashiria(symptoms) cha kuwa kuna tatizo lakini si chanzo(cause) cha tatizo.
Kwanza jamii inabidi tukubali mfumo wetu wa maisha unatatizo na wanawake wamekuwa waathirika mara nyingi.
 
Kongosho hapo kwenye red bado sijaelewa bana Kuua + kuolewa yeye ana makosa 75% kwani hakulazimishwa na mtu kuua ilikuwa ni afanye maamuzi yes/or no.
Mwanaume 25% kwa sababu yeye aliongea na ilikuwa ni chaguo la mwanamke kusuka au kunyoa..

Jamii(.......)
Kwa nini hakumuua mwanzo wakati matatizo hayo yote ya maisha magumu yanamsonga iweje hakutoa uhai wa mtoto mapema ili aendelee kutafuta mme haya matatizo ya kuambiwa sikutaki ukiwa na mtoto yasiwepo.

Nachodhani labda tu apimwe akili kwanza ili wajue kama alikuwa mzima au la?
 
Last edited by a moderator:
inaelekea alikuwa anaiwaza ndoa maisha yake yoote na kuona hicho cha alichokifanya n cha muhimu....aiseeee ndoa kakosa anaishia kwenye nondo.sijui kafaidika nini.
 
Kwani ni dhambi ngapi tunafanya wakati tunajua ni dhambi? Ni sheria ngapi tunavunjwa wakati tunajua ni kosa?
Huyu mama ana tofauti gani na makosa tunayofanya kila siku?

Huyu mama kuua kwa wakti huu mazingira yememsukuma kwenye extreme ambayo hakuweza kuendelea kuvumilia.
Kama ulishawahi jifungua, naomba niulize swali la kizushi, ulilia? Na kama ulilia ilikuwa kwenye stage gani ya uchungu? Mwanzo? Kati? Au baada ya zile dk mbili mbili?
Hiyo itakusaidia kujua at a certain point, someone can breakdown kulingana na uvumilivu wake. She broke down at this point.

Sijajua huyu mama ni wa aina gani hasa kielimu, kiuelewa, kipato na kadhalika.

Kama kuua jamii ndio imeua ila huyu mama ni nyenzo tu. Ni kama mtu apige mtu risasi halafu useme ni kosa la bunduki na si aliyefyatua bunduki hiyo.

Hata kama atapimwa akili na kukutwa mgonjwa wa akili, unadhani jamii itakuwa iamejisafisha? Je ni nini imepelekea mama huyo kurukwa akili? Je ni depression ya kuwa kete yake ya mwisho ya kuolewa imefika lakini ana mtoto ambaye anamzuia kuolewa na inabidi aondoke?

Mimi naona jamii iwawezeshe akina mama kusimama kwa miguu yao katika maamuzi, kifikra, kimapato. Kwa wakati huu huyu mama bado namlaumu kwa kiwango fulani tu.

Kongosho hapo kwenye red bado sijaelewa bana Kuua + kuolewa yeye ana makosa 75% kwani hakulazimishwa na mtu kuua ilikuwa ni afanye maamuzi yes/or no.
Mwanaume 25% kwa sababu yeye aliongea na ilikuwa ni chaguo la mwanamke kusuka au kunyoa..

Jamii(.......)
Kwa nini hakumuua mwanzo wakati matatizo hayo yote ya maisha magumu yanamsonga iweje hakutoa uhai wa mtoto mapema ili aendelee kutafuta mme haya matatizo ya kuambiwa sikutaki ukiwa na mtoto yasiwepo.

Nachodhani labda tu apimwe akili kwanza ili wajue kama alikuwa mzima au la?
 
kuna mwingine aliambia kama anataka kuolewa basi akate uke wake demu kweli akaenda kuukata bwana...... kweli haki sawa bado saaaaaaanaaaaaa
 
Nimesikia habari RFA kwenye matukio asubuhi binti amuua mwanae kwa kumnyonga kisa aweze kuolewa
Mwanaume kamwambia hawezi kumuoa akiwa na mtoto ambaye hakuzaa nae
dawa ni kukatisha maisha
Hii imetokea Mkoani Ruvuma ..
Hivi unaweza kumnyonga mwanao kisa uolewe??
Jamani hivi tunaelekea wapi?
Kweli wanaume mnaweza kuwa na roho ngumu namna hii,,????
Akina dada Mama kweli unaweza kufanya maamuzi mazito kama haya:A S cry:

God forbid

......Inashangaza **** Inasikitisha &&&&&&&&& Na kutisha pia....

View attachment 54926
Hapo kwenye red unakuwa hakimu mbaya sasa, kwani mwenye roho ngumu ni mwanaume au mwanamke???
 
Wapi Dark City uje ujionee uliyokua unatuambia juzi tu kwenye uzi wa Bishanga jamani kumbe kweli haya mambo yapo loooh!!! Malipo ya dhambi ni hapa hapa duniani......atakipata alichokua anakitafuta huyo mwanamke.
 
Last edited by a moderator:
Haya ni madhara ya mfumo dume tuliojiwekea sisi wenyewe.

Siwezi mlaumu mama peke yake, labda mama ntamlaumu 45% na jamii 55%.
FirstLady1, umeweza ona ubaya huo sababu umewezeshwa kujitambua na jamii inayokuzunguka.
Je umeangalia mazingira ya huyo mama yakoje? Kuanzia elimu, kipato, malezi aliyopata.

Ngoja niendelee kueleza kidogo.
Mwanamke akipata mimba kabla ya ndoa, jamii inamtazamaje? anahukumiwaje? Je mimba inakuwa kapata peke yake? Na je ana hata huo uwezo kwa wakati huu kumhudumia mtoto wake? Aliyezaa naye anachangia au hata anamtambua mtoto huyo? ni wangapi wako tayari kumsaidia mwanamke huyo hata kwa machngo wa mawazo chanya jinsi ya kuendelea na maisha yake?

Jamii imemwaminisha kwa kiwango gani kuwa mwanamke bila mume hajakamilika? Hapa ppenyewe utasikia mwanamke kuolewa muhimu. Na nachukulia mtu anayeweza kuingia jf angalau ana elimu hata ya fomu foo au hata kama hana uelewa ni mtu anayeweza angalau jitegemea na kuweza kuwa na kipato cha ziada cha kulipia intanet. Huyu mama amekua akiaminishwa mwanamke lazima aolewe, halafu leo ana mtoto ambaye anamzuia kuolewa, kwa nini asiondoe kikwazo chake cha kuolewa ili aolewe?

Hapa naweza uliza, ni wanawake wangapi waliowezeshwa na wametoa mimba kwa kuhofia kutoolewa kama watazaa kabla ya kuolewa? wanatofautiana na huyu? N ttfauti yao iko wapi?

Unajua huyu mama ni kiashiria(symptoms) cha kuwa kuna tatizo lakini si chanzo(cause) cha tatizo.
Kwanza jamii inabidi tukubali mfumo wetu wa maisha unatatizo na wanawake wamekuwa waathirika mara nyingi.

Mie bado lawama zangu ziko na huyo mwanamke(mwanaume alietaka kumuoa ndio wala sina mjadala nae maana hausiki kabisa,muhusika ni huyo aliyempa mimba) pamoja na kwamba jamii bado inauelewa mdogo au wanapotoshwa na mila na desturi zao huko vijijini ya kuwa bila kuolewa wewe si mwanamke ama ukizaa kabla ya ndoa unatengwa. Je ni kwanini hakuitoa hiyo mimba kabla ili tu jamii isimtenge na kukwepa majukumu na matatizo yoyote ya mbeleni??????!!!!!!
Ina maana alielewa wazi kuwa kuzaa nje ya ndoa ni kikwazo lakini bado aliendelea kufanya hivyo......ni maamuzi yake kumuua huyo mtoto hakushikiwa panga ili amuue,ni yeye na kiherehere chake cha kuolewa.
 
Ukiona kuna sehemu unashindwa kufanya maamuzi magumu kwa sababu ya huruma mpe mwanamke asimamie atayafanya huku anawatazama machoni wahusika... Hiyo quotes nahisi ina ukweli, wanawake wana roho za ajabu wanaoneana wivu hata marafiki.. Sijawai kuona yaani ni kawaida san a wao kuchukiana au kumchukia mtu bila sababu, yaani hata assigment kazini ukupangwa na senior mwanamke lazima usingizie ugonjwa mradi usiwemo maana roho zao wanazijua wenyewe japokuwa ni mama zetu,

Mfano Ni ngumu kwa mwanamke kumpa lifti mwenzake hata kama mvua inamnyeshea kisa kila mtu atajijua mwenyewe but atleast us tuna utu japokuwa general rule has an exceptions so msinipige mawe
 
Hapo kwenye red unakuwa hakimu mbaya sasa, kwani mwenye roho ngumu ni mwanaume au mwanamke???

Na wewe Power mie nimeuliza maswali mawili kwa wanaume na wanawake..
Sijahukumu lakini nimeuliza mtu unakuwa na roho ngumu kama mkaanga sumu..
 
Last edited by a moderator:
Kwani ni dhambi ngapi tunafanya wakati tunajua ni dhambi? Ni sheria ngapi tunavunjwa wakati tunajua ni kosa?
Huyu mama ana tofauti gani na makosa tunayofanya kila siku?

Huyu mama kuua kwa wakti huu mazingira yememsukuma kwenye extreme ambayo hakuweza kuendelea kuvumilia.
Kama ulishawahi jifungua, naomba niulize swali la kizushi, ulilia? Na kama ulilia ilikuwa kwenye stage gani ya uchungu? Mwanzo? Kati? Au baada ya zile dk mbili mbili?
Hiyo itakusaidia kujua at a certain point, someone can breakdown kulingana na uvumilivu wake. She broke down at this point.

Sijajua huyu mama ni wa aina gani hasa kielimu, kiuelewa, kipato na kadhalika.

Kama kuua jamii ndio imeua ila huyu mama ni nyenzo tu. Ni kama mtu apige mtu risasi halafu useme ni kosa la bunduki na si aliyefyatua bunduki hiyo.

Hata kama atapimwa akili na kukutwa mgonjwa wa akili, unadhani jamii itakuwa iamejisafisha? Je ni nini imepelekea mama huyo kurukwa akili? Je ni depression ya kuwa kete yake ya mwisho ya kuolewa imefika lakini ana mtoto ambaye anamzuia kuolewa na inabidi aondoke?

Mimi naona jamii iwawezeshe akina mama kusimama kwa miguu yao katika maamuzi, kifikra, kimapato. Kwa wakati huu huyu mama bado namlaumu kwa kiwango fulani tu.
Kongosho ngoja nipate lunch maana napata shida kukuelewa :happy::happy:
 
Last edited by a moderator:
kuna mwingine aliambia kama anataka kuolewa basi akate uke wake demu kweli akaenda kuukata bwana...... kweli haki sawa bado saaaaaaanaaaaaa
Man KKK unatupiga kamba ha ha
 
Last edited by a moderator:
Huyo boyfriend yeye umemuona ana roho nzuri?

Wanaume wanaosema "mimi sitaki hiyo mimba, KAITOE" wana roho nzuri?
Wanaolawiti watoto wadogo kama huyo unaemwongelea ana roho nzuri,?

Ukiamua kuhukumu matendo ya watu jaribu kuangalia pande zote mbili maana mengi ya pande mbili.

Ni kweli Lizzy
Kuna wengine wanatoa na hela za kutolea mimba kwenye mifuko yao..
 
Last edited by a moderator:
Msimamo wangu;Haya ni matatizo ya kijamii zaidi.Huyu dada anajua jamii inamtafsiri vp mwanamke mwenye mume,nadhani ndo kilichopelekea haya kutokea!
 
Sasa si angeenda hata kumuweka mtoto wake kwa ndugu yake watu wengine bana hawatumii akili kabisaa ndoa zenyewe za siku hizi mpaka unafikia hatua ya kuua.

muda huu ukimuuliza hilo atakwambia alichanganyikiwa kwa mapenzi
 
Back
Top Bottom