Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,461
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wekeza kwenye maadili ili kukwepa hao watoto mateja na machangudoa. Hao wazazi hawakuwa na elimu hii iliyopo kwenye mfumo rasmi,lakini walikuwa na elimu ya mazingira na maadili pia.
Sio kujisahau ni kutojielewa. Leo hii mzazi aelewi njia ipi ni bora katika malezi.Tumejisahau sana katika malezi. Watoto wetu wanajilea wenyewe, hawana miongozo thabiti. Matokeo yake ndio hayo.
Pamoja na elimu uliyonayo simamia maadili kwa familia yako. Na ili uweze kusimamia maadili inakupasa uwe muadilifu wewe mwenyewe kwanza. Uwe na maadili mazuri wewe mzazi kabla haujamsimamia mwanao. Kama hautaki mwanao anyoe kiduku isiwe wewe mwenyewe unapiga viduku na kuvaa mlgezo (mfano).Unamaana wazazi wa sasa hawana elimu ya mazingira na maadili?? Na je hili linaweza kuwa solution kwa kizazi chetu mkuu??
Cc Kingsmann
Pamoja na elimu uliyonayo simamia maadili kwa familia yako. Na ili uweze kusimamia maadili inakupasa uwe muadilifu wewe mwenyewe kwanza. Uwe na maadili mazuri wewe mzazi kabla haujamsimamia mwanao. Kama hautaki mwanao anyoe kiduku isiwe wewe mwenyewe unapiga viduku na kuvaa mlgezo (mfano).