Tunakumbushana tu kuwa leo ni tarehe 1 July, 2023

Tunakumbushana tu kuwa leo ni tarehe 1 July, 2023

Kwenye biblia kiukweli Kuna mistari yenye ukweli mchungu sana kiasi kwamba Huwa sio rahisi kusomwa na viongozi wa kidini maana na wenyewe inawahusu[emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio hivyo mkuu.. sio rahisi kukuta Galatia 5:19 inasomwa somwa kwenye ibada[emoji38][emoji1787]
19 Basi matendo ya mwili ni dhahiri nayo ni haya: uasherati, uchafu, ufisadi, 20 kuabudu sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, mafarakano, uzushi, 21 husuda, ulevi, ulafi na mambo mengine yanayofanana na hayo. Nawaonya, kama nilivyokwisha waonya kabla, kwamba watu watendao mambo kama haya, hawataurithi Ufalme wa Mungu.
 
Sasa mostly haya mambo tajwa hapa kila mtu anayo. Mpaka hao so called watumishi wa Mungu [emoji1787]
 
.......... Soma hili shairi.....

Live and let die

One says that
My children are dwarfs
That no one seems taller
Than the other.
That they never take a bath,
That they are soiled,
That they eat lice
From their clothes
Let them eat, brothers,
Until the system changes.
Until exploitation ends:
Let them eat brother,
Because we are on the way
To build Ujamaa
But, at present,
The system has not changed.
Let them eat, brother,
Because the rich nations
Are not yet ready
To die a little
So that the poor nations may live:
Let them eat, brother,
Because the rich man
Is not yet ready
To die a little
So that the poor man may live.

Let them drink water.
Let them eat air.
Let them digest the sunshine
Because that is what
I can afford to buy.
Meanwhile I wait
For Uhuru to flower,
For Uhuru to come
When the time is ripe.

Let them eat brother.
Because the rich man
Is convinced that
It's because I'm lazy
That they don't have food.
That they don't have good health.
That they wear rags.
And that their house
Is like an abandoned hut

Let them eat brother
Because the rich man
Thinks that it's because
I don't plan my Family

Let them eat brother.
Because the rich man
Does not like to hear
That he is rich
Because of me
That I work hard,
But for him and
Not for myself
That it's only because
I'm a slave of a system
That I lead a poor life.

Kundi Faraja
 
Back
Top Bottom