Ndombolo Ya Solo
Member
- Mar 24, 2019
- 27
- 19
AMIN
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mstari mwingine unaosema..."Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu"
Huu mstari unanifikirisha sana, anyways tutafute hela.
Kasome na muhubiri sio ndefu soma yote tu " Mtume anasema yote ni kujilisha upepo maana maana wote mwisho wetu ni chini"19 Basi matendo ya mwili ni dhahiri nayo ni haya: uasherati, uchafu, ufisadi, 20 kuabudu sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, mafarakano, uzushi, 21 husuda, ulevi, ulafi na mambo mengine yanayofanana na hayo. Nawaonya, kama nilivyokwisha waonya kabla, kwamba watu watendao mambo kama haya, hawataurithi Ufalme wa Mungu.