Tunakuomba Rais wetu atupungie hata Mkono siku ya Uhuru leo tusikie hata sauti yako

Tunakuomba Rais wetu atupungie hata Mkono siku ya Uhuru leo tusikie hata sauti yako

maandamano

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2025
Posts
726
Reaction score
1,548
Jamani nikiwa kama Mtanzania kada mwaminifu wa CCM naomba Mama angalau atupungie mkono, maana kwa mara ya mwisho tumemuone siku akiongea na wazee wa Daresalamu, tumekumisi
 
Si jana tu tulisikia anafanya mazungumzo na kaimu balozi wa Marekani, na ubalozi wa Marekani ukapost kufanya mahojiano nae?
 
Basi tutamsubiria X-Mass na mwaka Mpya maana huu mwezi sikukuu ni nyingi sana tunataka kusherekea na Mama yetu mpaka 2035
 
Back
Top Bottom