Tunakushukuru Mungu kwa ajili ya familia Ya Kaizer!



Hongera sana kiongozi,
umempata mpiganaji, kaizer junior!,
Imetulia hii.
 
Congratulations Kaizer and family, well done!
 
Honger sana wandugu
Mungu awajalie na awaongoze ktk malezi mema na yenye kumkumbuka Mungu siku zote na ktk kila jambo kwani yeye ana majibu ya changamoto zote zinazotukabili
 

kaka kaizer hongera sana. kama mdau alivyosema mtangulize Mungu. Fanya sana mazoezi. Hacha utani na watoto wa jinsia nyingine. kwani kipindi hichi ni kigumu kwa wababa. Wengi ni wakati wa kuanzisha nyumba ndogo. ntakuweka kwenye maombi wewe na familia.
 
Hongera Familia ya Kaizer Mungu awaongeze mumlee mtoto wenu kwenye makuzi mema ya kumpendeza Mungu!
 
Hongera sana Kaizer & the wife
Mungu awabariki, awape furaha na upendo
:A S-baby:
 


Thanks Nyumba Kubwa kwa wishes, we are doing fine....nimeusikia usia wako, ila hapo kwen mazoezi, mazoezi gani nifanye....naomba mwongozo
 
i have got confession
katika watu niliokuwa nawazimia humu ndani wewe Kaizer ni mmoja wao kidogo nianze kujikomba kwako sikujua umeoa mkuu...all in all hongera sana!:spy::spy:
 
i have got confession
katika watu niliokuwa nawazimia humu ndani wewe Kaizer ni mmoja wao kidogo nianze kujikomba kwako sikujua umeoa mkuu...all in all hongera sana!:spy::spy:

asa mi nikidhani ni HE kumbe SHE! dah majina mengine.....hakijaharibika kitu hata hivyo:spy:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…